Kwa Wanaojua Kinyamwezi.......

...Aliserema alija... serema serema alija...

ahsanteni kwa kunisikiliza...

Kasie Matata hebu kuja hapa uniletee mahaba
Hakyamama maisha ni safari ndefu
 

Wigowan...
 



From 2016 to 2022.....
 
Yalianza kitambo sana, naona tulikotoka....😍.
Hukunitendea haki na hili ntakulalamikia mpaka tunadedi. Kwanini lakini?

Ngoja kwanza marehemu asijje kuamka...
 
Hukunitendea haki na hili ntakulalamikia mpaka tunadedi. Kwanini lakini?

Ngoja kwanza marehemu asijje kuamka...

Looh itabidi nimuombe babu ( jina lake limenitoka ila alikuwa bonge kwenye ki pikipiki kiduchuu - batavuuzii...!)

Huyo babu aje asuluhishe hili lalamiko....πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…