Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari ya asubuhi wapendwa,
Jana usiku babu wa Kasie amenibembeleza kiaina yake, nilikuwa kila nikijigeuza usingizi hauji, kila nikigeuka huku usingizi unagoma nikamwambia babu mie sipati usingizi na muda unaenda asubuhi ntachelewa kuamka, basi babu akaamka na kuanza kunibembeleza kama mama anavombembeleza mwanaye aliyestuka usiku kwa kuota ndoto mbaya.
Basi babu akaanza kuniimbia nyimbo za kinyamwezi hahahahaa nikaanza kutabasamu huku anani petipeti mgongoni hadi nikapitiwa na usingizi.
Wimbo alioniimbia ninaoukumbuka ni huu....
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu wangaluka mwana wa Ntemi,
Walolo mayo watolwa mwana wa Ntemi
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu.. (sijui nimepatia matamshi unavoimbwa)
Maana yake hata sijui ni nini mie nilisikia raha tuu kubembelezwa na nyingine lizoniimbia sizikumbuki maana nilipotelea usingizini.
Babe ake Kasie is so lovey..... muah!! to him.
Kama unafuraha na tabasamu siku ya leo unga hapa kuimba kinyamwezi.