Kwa wanaojua kikongo

Kwa wanaojua kikongo

Utubora

Senior Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
141
Reaction score
19
Naombeni kujua wimbo wa ' mario ' by franco luambo unamaanisha nini?
 
Naombeni kujua wimbo wa ' mario ' by franco luambo unamaanisha nini?
Unahusu kijana wa kiume ambaye alikuwa hapendi kufanya kazi badala yake anapenda kulelewa na kina mama watu wazima wenye hela.
 
Ni wimbo mrefu ila in short ni mwanamke analalamika jinsi kijana mario anavyomtia hasara coz kazi hana na anatunzwa na mwanamke at the same tym anampiga huyo mama na kumvunjia vitu vyake vya ndani ambavyo kanunua mama na pesa yake
 
mario atuteli ngai voiture na nzete!!!!
 
Wadau na huu wa AZALAKIWA by GATHO unamaanisha nini jaman? Nazipenda sana nyimbo za wakongo shida kubwa ni language barrier!
 
Wadau na huu wa AZALAKIWA by GATHO unamaanisha nini jaman? Nazipenda sana nyimbo za wakongo shida kubwa ni language barrier!
eeh wewe google lyric ya hizo nyimbo zote zimetafsiliwa mitandaoni.hata youtube utapata.hapa wabongo kila mtu atakupa msamiati wake
 
Nimegoogle but walichosema ni maana ya azalakiawa which means she was just here! Nothing more nothing less! We really need congelese here !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom