ABDUL JIRANI Senior Member Joined Jul 20, 2013 Posts 176 Reaction score 52 Nov 17, 2013 #1 Usiringe kuchagua kazi eti kisa Una Degree!! Thermometer ina DEGREES kibao lakini inafanya kazi kwenye KWAPA!
Usiringe kuchagua kazi eti kisa Una Degree!! Thermometer ina DEGREES kibao lakini inafanya kazi kwenye KWAPA!
O Omonto Member Joined Feb 13, 2012 Posts 38 Reaction score 9 Nov 18, 2013 #2 Usiringe kuchagua kazi eti kisa Una Degree!! Thermometer ina DEGREES kibao lakini inafanya kazi kwenye KWAPA! Upumbavu mtupu unapenda ubwete
Usiringe kuchagua kazi eti kisa Una Degree!! Thermometer ina DEGREES kibao lakini inafanya kazi kwenye KWAPA! Upumbavu mtupu unapenda ubwete
LILENDI JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 1,400 Reaction score 497 Nov 20, 2013 #3 ABDUL JIRANI said: Usiringe kuchagua kazi eti kisa Una Degree!! Thermometer ina DEGREES kibao lakini inafanya kazi kwenye KWAPA! Click to expand... naruhusiwa kufanya hiyo kazi ya thermometer? hahahahaaaaa
ABDUL JIRANI said: Usiringe kuchagua kazi eti kisa Una Degree!! Thermometer ina DEGREES kibao lakini inafanya kazi kwenye KWAPA! Click to expand... naruhusiwa kufanya hiyo kazi ya thermometer? hahahahaaaaa
MatikaC JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 1,190 Reaction score 479 Nov 21, 2013 #4 siyo kwapa, popote penye joto na unyevunyevu....lol