SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,990
- 2,669
Sure, hawa ndio wale waganga njaa.Kwanza hakuna tools za kuflashia sim ambazo hazijawah kua discussed humu ndan..hata unlocking tools pia
Sasa sion haja ya kuficha mambo mkuu uko pm
Hans Pol
Sure, hawa ndio wale waganga njaa.Kwanza hakuna tools za kuflashia sim ambazo hazijawah kua discussed humu ndan..hata unlocking tools pia
Sasa sion haja ya kuficha mambo mkuu uko pm
Sasa wewe ku flash simu unataka ufuatwe inbox, kuna nini huko inbox.hu
inaweza ikawa kweli ila ebu tutajie basi hata moja tuijue
Kuflash simu siyo kosa.Mkuu huogopi miaka 30 ya TCRA? Maana kosa la kuflash sim ni miaka 30.
Chukua tahadhari mzee.