wako TANGA maeneo ya kange kama cjakoseasalaam wanaJF.
naombeni kujuzwa, kuna shirika linaitwa ''Tanzania 4h organization''. Office zao zipo wapi? na wanadeal na nini ?
natafuta info zao ila hata hazipatikani, website yao wala haifunguki... www.4htanzania.com
au ni makanjanja tu?
Imeanzishwa 1994since 90's ? kumbe ni shirika kongwe kabisa. ila mbona hawana hata website? na vipi ajira zao mkuu