Kwa wanaohitaji viwanja mbeya jiji!

Makuku Rey

JF-Expert Member
Dec 31, 2013
3,465
3,759
Sasa naanza kukata viwanja katika shamba langu lililopo ITENDE MBEYA.

ni eneo zuri,huduma zote (umeme na Maji )vinapatikana,ni eneo ambalo ndo limeanza kujengeka sasa.

Kuna usafiri Wa bajaji,kwa tsh 500 inakufikisha mpaka Barbara kuu ya ZAMBIA(tunduma road)
viwanja nakata kwa kuanzia mwenye mil 2,3na 4
 
Back
Top Bottom