TutorMe Group
Member
- Oct 26, 2017
- 31
- 13
WE AIM AT GIVING OUR CHILDREN THE BEST..... WHAT DO WE DO TO ACCOMPLISH THAT??????
Hahah baba avatar ipi tenaa????Kwenye avatar huyo ni wewe???
Hiyo dp hapo uliyoiwekaHahah baba avatar ipi tenaa????
Ni mimiHiyo dp hapo uliyoiweka
Ok...naweza kukaribishwa pm??Ni mimi
What is pm????Ok...naweza kukaribishwa pm??
Kwa Mjini Tanga unapatkana wap???Kwa jina ni Elizabeth Kimaro,mwanafunzi wa University of dar es salaam(UDSM),computer science,nafundisha tuition kwa wanafunzi wa level zote primary hadi secondary,A'level ni kwa PCM, PCB & PGM...pamoja na English course kwa wanaohitaji.....
Popote ulipo huduma hii inaweza kukufikia!!!
Kwa mawasiliano zaid piga namba:
-0653175533
-0628112542
WE AIM AT GIVING OUR CHILDREN THE BEST..!!!!
Pm..private msg....naruhusiwa kuwa na private mawasiliano na wewe??What is pm????
Embu weka picha yako ukiwa full tuone kama uko na chura.....What is pm????
nipo nae ondoeni shaka mm nafundisha chem and biologyKwa jina ni Elizabeth Kimaro,mwanafunzi wa University of dar es salaam(UDSM),computer science,nafundisha tuition kwa wanafunzi wa level zote primary hadi secondary,A'level ni kwa PCM, PCB & PGM...pamoja na English course kwa wanaohitaji.....
Popote ulipo huduma hii inaweza kukufikia!!!
Kwa mawasiliano zaid piga namba:
-0653175533
-0628112542
WE AIM AT GIVING OUR CHILDREN THE BEST..!!!!
Wew unataka kufundishwa chura au nini?Embu weka picha yako ukiwa full tuone kama uko na chura.....
Sjaelewa...
We ni Elizabeth?Sjaelewa...