Kwa wanaohitaji mwalimu wa kufundisha home tuition kwa wanafunzi wa level zote, pamoja na english course

Mmmh....PCM, PCB na PGM zote wewe peke yako? Inatia mashaka sana. Kwamba umesoma Geography, Biology, Maths, Chemistry na Physics kwa kiwango cha A-level? Hongera sana kama unaweza kumudu yote hayo.
 
Kwa jina ni Elizabeth Kimaro,mwanafunzi wa University of dar es salaam(UDSM),computer science,nafundisha tuition kwa wanafunzi wa level zote primary hadi secondary,A'level ni kwa PCM, PCB & PGM...pamoja na English course kwa wanaohitaji.....
Popote ulipo huduma hii inaweza kukufikia!!!

Kwa mawasiliano zaid piga namba:
-0653175533
-0628112542
WE AIM AT GIVING OUR CHILDREN THE BEST..!!!!
Kwa Mjini Tanga unapatkana wap???
 
Naruhusiwa kuzitumia hizo namba zako za simu ulizoweka hapo kwa mambo yetu yale jamani Elizabeth?
 
Kwa jina ni Elizabeth Kimaro,mwanafunzi wa University of dar es salaam(UDSM),computer science,nafundisha tuition kwa wanafunzi wa level zote primary hadi secondary,A'level ni kwa PCM, PCB & PGM...pamoja na English course kwa wanaohitaji.....
Popote ulipo huduma hii inaweza kukufikia!!!

Kwa mawasiliano zaid piga namba:
-0653175533
-0628112542
WE AIM AT GIVING OUR CHILDREN THE BEST..!!!!
nipo nae ondoeni shaka mm nafundisha chem and biology
 
Back
Top Bottom