KUMBUKA SIOO WOTE WENYE EMAIL WANA SHIDA ZA NDOA NA WATOTO KAMA LENGO ZURI KUOMBA KWANINI USIWEKE NAMBA HAPA AMA.UWAPIGIE AMA.WAKUTAFUTETumejitoa kuwaombea kina dada ambao wanahitaji wachumba wa kuwaoa, tutamuombea tu ambaye yuko serious na anahitaji kweli kutokana na sababu mbali mbali na za msingi anazo zijua yeye. Kama kuna tatizo linalo kufanya usiolewe na unalijua wewe tafadhali tatua kwanza halafu uje tutasali pamoja. anayehitaji atuandikie kwenye email: prayerrequest123431@yahoo.com Jina lake na namba yake tutampigia ili tuombe kwa pamoja. ukituma namba isiyo sahihi na isiyoyakwako tukikukosa hatutarudia kukupigia hakikisha tunapokupigia upo sehem ambazo hazina kelele ili tuwe na muda mzuri wa maombi. tutashukuru kama utatupa namba ya tigo au Vodacom maana itakuwa rahisi kwetu kukupigia.
Tutakupigia simu asubuhi saa 12 au saa 12 jioni huo ni muda mzuri kwetu kupiga simu.
tunaanza na kuwaombea ambao hawana watoto yani ambao hawajazaa wiki ijayo tutakuwa na ratiba ya kuwaombe hata wale ambao wenye watoto ambao wamesha zaa. Mungu awajib haja ya mioyo yenu na awape mnacho kihitaji.
Mkuu niaje?Maspiritual husband NA maspiritual wife yamenuna
Pia mimi nami naitaji maombi nipate mke mwema
Hahaaa hamia ccmMimi nataka mniombee nipate Mume Bilionea.
NipoomkuuMkuu niaje?
Man of God, nashaur ungeweka namba ya simu, ili muda ukifika tuwe pamoja kwenye maombiTumejitoa kuwaombea kina dada ambao wanahitaji wachumba wa kuwaoa, tutamuombea tu ambaye yuko serious na anahitaji kweli kutokana na sababu mbali mbali na za msingi anazo zijua yeye. Kama kuna tatizo linalo kufanya usiolewe na unalijua wewe tafadhali tatua kwanza halafu uje tutasali pamoja. anayehitaji atuandikie kwenye email: prayerrequest123431@yahoo.com Jina lake na namba yake tutampigia ili tuombe kwa pamoja. ukituma namba isiyo sahihi na isiyoyakwako tukikukosa hatutarudia kukupigia hakikisha tunapokupigia upo sehem ambazo hazina kelele ili tuwe na muda mzuri wa maombi. tutashukuru kama utatupa namba ya tigo au Vodacom maana itakuwa rahisi kwetu kukupigia.
Tutakupigia simu asubuhi saa 12 au saa 12 jioni huo ni muda mzuri kwetu kupiga simu.
tunaanza na kuwaombea ambao hawana watoto yani ambao hawajazaa wiki ijayo tutakuwa na ratiba ya kuwaombe hata wale ambao wenye watoto ambao wamesha zaa. Mungu awajib haja ya mioyo yenu na awape mnacho kihitaji.
unatafuta mume? mi natafta mke nahisi tunaendana njoo pmHaya tutakutumia,,asante mtumishi
Tunaanza na wasichana kwanza ikifika wanaume tutaandika hapa haya ni maelekezo ya Mungu.Amen man of God, Mm naomba uniombee nipate mke mwema, mwanamke ambae ameubwa kwa ubavu wangu
usimpangie Mungu tafadhali. Mungu huamua kumpa mtu yule ambaye anaona anamfaa uwezo, tabia...Mimi nataka mniombee nipate Mume Bilionea.
sawasawaTunaanza na wasichana kwanza ikifika wanaume tutaandika hapa haya ni maelekezo ya Mungu.