Kuna hii website wana kila aina ya ala ya mziki ambayo unaweza ukaplay live kwenye pc yako na hata pia kurecord ulichokigonga kwenye ala husika. Pia hata kwa wasioplay vile vile in leisure time unaweza ukajichagulia an instrument ukaenjoy kupiga. ButtonBass Make Music online. Play the Virtual Piano With Your Keyboard.