Hahaha mbu wachawi wa zamani wangeona haya kumtoa kikoa 'mtoto ulokabidhisha Ila wachawi wa sasa wanaona ndo wamerahisishiwa njia. Sikushauri kufanya hivyo hata kidogo
Kwanza, mimi ningemwambia mke wangu sitaki kusikia tena habari za huyo jamaa - mkarimu n.k. je, kabla ya lifti alimkirimia nini? Lunch? Pili, kama mke wangu atataka hiyo lifti basi ahamie kwa huyo jamaa mpaka mwisho wa maisha yake duniani ili aweze kufaidi hiyo lifti vizuri.
tatu, nikigundua wanapeana lifti bila mimi kujua nitamchukua mke wangu na kujifanya kumtembelea huyo jamaa nyumbani kwake na kumwacha huko mke wangu - yaani kumkabidhi kwa huyo bwana. Nne, wanawake wengi upenda magari aidha kumiliki au lifti.
Na mwisho, ni wote wawili ni kuka chini na kutafuta la kwenu kama si ya kwenu; maanake kama anatamani gari, lazima atatamani na vingine!!! Mwisho kabisa wake wanatakiwa kuangaliwa na kuelekezwa na waume zao kama mzazi anavyomwelekeza mwanaye!!!!!!!
WOS,
Hapo mi naona mambo mawili ya msingi , moja ni kwamba jamaa hana gari, na hiyo inamfanya analoose confidence kwenye ndoa yake, Pili huyo mwanamama na jamaa mwenye gari wanafanya kazi pamoja, kwahiyo hiyo inamfanya jamaa ashuku kuwa jamaa mwenye gari anaweza kumuiba mkewe na kwenda naye kokote.
inasaidia jibu hili.If you cannot find peace within yourself, you will never find it anywhere else.
we na mkeo mmeanza maisha na wote, mwafanya kazi sehemu tofauti na huwa mnaondoka alfajiri kwenda mihangaikoni na mnatumia daladala. Kila siku kuna jama anapita na gari lake na mkeo anakuambia anamfaham na anafanya shughuli zake jirani anapofanya kazi na anamsifia alivyo mkarimu. Siku moja mpo kituoni asubuhi anapita huyo jamaa na gari lake nae anajitolea kumpa lifti mkeo...
Kama mumewe utafanyaje?
Tatizo nikwamba hiyo PEACE jamaa amekosa ndo maana tunamshauri hapa, Angekuwa na PEACE wala asingesumbuka kuuliza.Renegade, kama hana gari na mtu kajitolea kupunguza stress za usafiri kwa mkewe iweje asijiamini?
BTW, signature yako
inasaidia jibu hili.
We na mkeo mmeanza maisha na wote, mwafanya kazi sehemu tofauti na huwa mnaondoka alfajiri kwenda mihangaikoni na mnatumia daladala. Kila siku kuna jama anapita na gari lake na mkeo anakuambia anamfaham na anafanya shughuli zake jirani anapofanya kazi na anamsifia alivyo mkarimu. Siku moja mpo kituoni asubuhi anapita huyo jamaa na gari lake nae anajitolea kumpa lifti mkeo...
Kama mumewe utafanyaje?
...achana na stress hizo....ishi kwa imani ukitaka kila kitu uchungulie utajipa tabu bure.huwezi kuona tatizo hadi siku utakapomegewa.
Kule somalia huwa wanaweka kufuli; lakini as long as shimo lake anatembea nalo na wewe bakora yako utatembea nayo, kinachobakia ni uaminifu wa mtu tu. Kwa kweli pamoja na uaminifu, wanawake huwa wepesi sana kushawishika, hivyo ni vizuri kumwambia mkeo ajiepishe na vishawishi. La pili, wanaume huwa tupo waoga katika masuala haya kuliko wanawake; mke ukimchimba mkwara mzito utadhani umemfungulia, hata kwa mabinti - ukijua binti yako anafanya uzinifu ukamchapa ujue ndo kama umeozesha kabisa; utalala mlango wazi. Lakini wanaume kwa woga tulionao!! mchimbe mkwara huyo dume!!.