kwa wanandoa!

Ni muhimu kuliombea tendo la ndoa ili Mungu abariki tendo na iwapo kiumbe kikitengenezwa katika hilo tendo la ndoa kipate baraka na neema za Mungu
 
Niliwahi kuambiwa na mtumishi wa Mungu kwamba ni jambo jema kuombea tendo hilo; binafsi sijawahi kukumbuka kufanya hivyo. Bila kusahau kushukuru baada ya kumaliza tendo! kwani usipoliombea kuna dhambi unapata mkuu?
 
Sala yeyote huwa na kusudi. Kama una kusudi halali omba kadiri utakavyoweza. lakini kumbuka maandiko husema Mungu hapendezwi na wapumbavu.
 
nikiolewa nitafanya hivyo... nadhani ni muhimu sana... ila sijui ukiwa katika ile hali unaweza kumbuka kuomba hasa kwa upande wa wanaume
 
nikiolewa nitafanya hivyo... nadhani ni muhimu sana... ila sijui ukiwa katika ile hali unaweza kumbuka kuomba hasa kwa upande wa wanaume

Kwanza hainiingii akilini kuanza kuomba wakati tayari kitu kiko taiti; labda niombe kimoyomoyo wakati namwandaa mama watoto wangu.
Pili siamini kama kwa vijana huwa wanafanya tendo hilo kwa ajili ya kupata watoto; labda kwa wale ambao wamechelewa kubarikiwa kupata matunda ya ndoa.

Mdogo wangu miss chagga - hiyo haipo hata ukiolewa - utaendelea na mwendo uliouzoea
 
sawa kaka yangu nimekuelewa
 
ila sijui ukiwa katika ile hali unaweza kumbuka kuomba hasa kwa upande wa wanaume sio wanaume tu hadi wanawake ni vigumu kumake pause na kukumbuka maombi!
 
kiwatengu Mi huwa naomba..nikipata upako ndiyo ndude inasimama..
mungu ni mwema HII KALI!
 
Hizi imani nyingine hizi mmmh!!!
 
Salam wana jf na baada ya salamu naomba kujua kuna umuhimu wa kuliombea tendo la ndoa kabla ya kufanya? kama ilivyo mambo mengine tunavyoyaombea?

Yes ni busara kufanya hivyo kwa wanandoa.
Ifanyie majaribio tafadhali!

yah ni vizur kulibariki kwanza, especially mkiwa katika mpango wa kupata mtoto

Sala yeyote huwa na kusudi. Kama una kusudi halali omba kadiri utakavyoweza. lakini kumbuka maandiko husema Mungu hapendezwi na wapumbavu.

nikiolewa nitafanya hivyo... nadhani ni muhimu sana... ila sijui ukiwa katika ile hali unaweza kumbuka kuomba hasa kwa upande wa wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…