utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
Habari za jioni, habari za majukumu wana jf.
leo naomba kuliza swali hili, kwa wale waliofunga ndoa inakuaje wengi wao wanashindwa kumwita mume wangu/mke wangu mwenza wake wakiwa na watu? sijui inakua ni aibu au wanajiona kama wataeleweka vibaya? me naona kutoa sauti na kumwita "mke wangu" mbele ya familia au marafiki inaongeza upendo zaidi badala ya kumwita jina lake au mama fulani, ni vizuri wewe umpe jina ambalo ni unique (mume wangu/mke wangu) na wengine watamwita baba/mama fulani. au mnaonaje wanajamvi?