Day one akakaae Kwenye chumba chake inamfundisha kuwa independent weka baby monitor au camera with emotion detector .Inakuwa ngumu kwa sababu always wanakuja chumbani .kwani Hana chumba chake?mtoto akizaliwa lazima awe na chumba chake .kama wa kike tengeneza nursery room nzuri pink pink dolls and turn the room into Disney world atan'gang'ania chumba chake weka pink carpet ,nice comforter she will love .
Since day one mtoto analala mwenyewe .Unaweka monitors ( sound and emotion detectors ) .Inajenga kujiamini kwa mtoto .Hujawahi ona mtu mzima Anaogopa kukaa mwenyewe .Mtu anakaa na roommates Hajiamini .USA 2 weeks mtoto anaenda Day care .
Mimi wanangu huwa nawalaza kwa kitanda chao siku ya kwanza tunaporudi toka hospt.
hii siyo kwa sababu ya kutawala kitanda, ila kwa sababu ya kumlinda mtoto pia. Nimeshawahi kusoma watoto wachanga wanalaliwa na wazazi wao, basi inanipa wasiwasi sana kulala na mtoto kitandani.
Mwaka 1+ unaweza kumweka chumbani kwake.... hawa watoto mimi nawaogopa sana.
kuna siku mtoto wa uncle wangu alikuwa na miaka 2+ alikuja kunilalamikia kuwa baba anampiga sana mama usiku akiwa amelala, na hapo mtoto alikuwa analala kitanda chake lakini chumba kimoja na wazazi. Nilimwamisha chumba siku hiyo bila kumwambia mamake sababu, nikaomba nilale naye mimi. Nilipoondoka nikamwambia aunt mtoto aendelee kulala chumba cha wadada, ikawa hivyo
cc. AineMwenyewe last week tu mama mmoja jirani yangu kagonga vyombo (mvinyo) akamlalia mwanae wa miaka miwili mapaka mtoto akatangulia mbele za haki..
Rest in peace mtoto.
ha haaa, wewe ndo wale uliokuwa unang'ang'ania kulala na mama mpaka uzeeni? lol!
Mwenyewe last week tu mama mmoja jirani yangu kagonga vyombo (mvinyo) akamlalia mwanae wa miaka miwili mapaka mtoto akatangulia mbele za haki..
Rest in peace mtoto.
Na ulipokua unayashuhudia hayo ulikua unawaza nini?I would like to know!
ha haaaa, bahati yako ni mdada.....ni mama alishindwa kulet go; lol
si unajua watoto wa mwisho huwa atukui!
Mimi na wife kila mtu ana kitanda chake, chumba kimoja,atayemhitaji mwenzake anamfuata kitandani kwake.Watoto wana chumba chao(Mmoja ana 3yrs na mwingine 1yr)
Asante FP na Aine.kuna kitu najifunza kutoka kwenu.huwa nampunguzia idadi ya kunyonya usiku kadiri anavyokua.
anapokuwa mchanga ananyonya mara kwa mara maana naamini anachoka kuvuta mapema, ndo maana nalala naye chumbani kwangu.
anapokua huwa maximum kumnyonyesha usiku ni mara 3, na ndo maana nakaa ananyonya mpaka achoke na kuacha mwenyewe, then akilala nina uhakika anaweza lala zaidi ya masaa 3.
kuna siku naweza amka mara moja tu.
nb. huwa simwamshi mtoto kunyonya, namnyonyesha akiwa ameamka. mara nyingi watoto wanaamshwa na kulowa mkojo au njaa. kama kulowa tu nikimbadilisha huwa analala tena, na mimi narudi kulala
usimnyanyapae mtoto laleni nae mpaqka afikie umri wa kutosha,mtoto anahitaji kuwa karibu na mama yake wakati amelala ili kumjengea kujiamni na kuwa na akili njema.
watoto waliokosa joto la mama wakiwa wachanga mara nyingi wanakumbwa na ndoto za ajabu ajabu na wengine kuwachukia wanawake kama ni wa kiume na mwisho wana hatari ya kuwa mashoga.
Sasa mdogo wake akija ndo atolewe kitandani? Huyo ana almost miaka miwili. Saa hizi mama anatakiwa awe na kizaygote hapo. Heh!
From day one mtoto hakupaswa kulala nao kitanda kimoja. Nadhani angejiamini zaidi kwa kujitegemea toka mwanzo. Bora awekwe kitanda chake na haraka iwezekanavyo apewe chumba chake.
Huyo aunt alikuambia ukiolewa na mtoto wa mwisho kutatokea nini?Nauliza kwa kuwa jirani yangu ni last born kwao na anaishi vizuri na mkewe.ha haaaa, bahati yako ni mdada.....
ungekuwa mkaka ungemsumbua sana mkeo.....
kuna aunt yangu alinipa bonge la onyo kuwa nisiolewe na mtoto wa mwisho, lol!
..inawezekana..Nyumba za kupanga,chumba cha mtoto utakitoa wapi na ugumu huu wa maisha? mwanetu ana miaka2 na miezi 8 tunalala nae na wala hakuna tatizo! malezi hutofautiana!
Kama kuna sociologist atusaidie kufanya utafiti kuhusiana na kipengele cha RED." Association between homosexuallity and childhood parental care". sijui niko sahihi?unajua tena, kiingereza chetu cha shule za kata(cha kuungaunga)usimnyanyapae mtoto laleni nae mpaqka afikie umri wa kutosha,mtoto anahitaji kuwa karibu na mama yake wakati amelala ili kumjengea kujiamni na kuwa na akili njema.
watoto waliokosa joto la mama wakiwa wachanga mara nyingi wanakumbwa na ndoto za ajabu ajabu na wengine kuwachukia wanawake kama ni wa kiume na mwisho wana hatari ya kuwa mashoga.
sidhani kama hiyo ilikuwa siku yake ya kwanza kulewa.......FP huyo kumbuka ni mlevi jamani, inasikitisha sana atahukumiwa daima, RIP baby
Wanaishi Boarding schoolhii nayo kali, hii ndoa kweli jamani?