Kwa wanakwaya wote! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanakwaya wote!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KYALOSANGI, May 1, 2011.

 1. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,825
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  Najua wanakwaya mtakuwa mmesharudi nyumbani baada ya ibada makanisani!hii pia unawahusu wale wote tulio wahi kuwa wanakwaya makanisani,tuka -staafu,staafishwa,fukuzwa nk ! Nahata washabiki na wapenzi wakwaya na walio karibu na wanakwaya!!!!!
  Hebu fikiria jinsi kwaya ilivyokusaidia au inavyokusaidia katika maisha yako ya mapenzi!
  Tuongee ukweli !bila kujali sana imani zetu,
  naanza mimi kwaya ilinifanya niingie kwenye mahusiano ambayo sikuyategemea!sijuti sana !ila nasikitika
   
 2. n

  neyro JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  teh teh teheeee anha ha ha ha haaaa! Pole saana , ulikua kwaya master, mpiga kinanda, sololist, mwl wa kwaya au..... Maana haao!
   
 3. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,370
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwaya ngengine zinazaa ndoa takatifu:smile-big:
   
 4. n

  neyro JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  kwaya ngengine zinazaa ndoa takatifu

  ingawa nyingi zinaanza na uzinifu!
   
 5. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 2,394
  Likes Received: 2,790
  Trophy Points: 280
  Mahusiano ya kingono nna mapenzi siyo mageni sana katika vikundi vya kwayauanendelea. Mahusiano haya yanapendeza ikiwa tu yanalengo jema la ndoa lakini kama ni kwa uzinzi ni tatizo kubwa sana na ndilo tunaloliona kwenye kwaya nyingi zinazotuimbia na kutuzunguka.
  Inapotokea kwaya inasafiri kwenda nje ya eneo lao hali huwa ni balaa kwani ni kama uzinzi na ulevi umepewa kibali. "Mungu na atusaidia, hatukufika bali tunaendelea"Mch Abiud Misholi(Tenda Miujiza2010):amen:
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,815
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Kwaya NGENGINE zinazaa watoto nje ya ndoa + kutengwa na kanisa
   
 7. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,966
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Usinikumbushe Mkuu! Kiranga cha kwaya kimeniweka sayari nyingine kabisa. Nina mengi mie jamani juu ya KWAYA.
   
 8. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 13,519
  Likes Received: 1,742
  Trophy Points: 280
  Attempting to think,,,,,,,,,,
   
 9. n

  neyro JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  kwani kaswida ni aina gani ya muziki?
   
 10. Ney wa Barca

  Ney wa Barca JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dah!msinikumbushe nilikua sololist,yaliyotokea,ctaki kukumbuka ila kama hamjasimama vizuri katika imani huko ni ngono kwa kwenda mbele
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  May 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,463
  Likes Received: 3,350
  Trophy Points: 280
  Tupe japo kidogo yaliyokupata!
   
 12. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,874
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  dah kwaya mh acha tu wengine tulizianzia sekondari ktk joint masses afu ukishazoea mambo yetu yale kwa mgongo wa kwaya ni ka ulemavu huwezi tongoza demu mwingine ambaye si mwanakwaya ndo mana unakuta kila sehemu mtu akienda cha kwanza anajiunga na kwaya hata ka atakaa muda mfupi
   
Loading...