Kwa wanaioshi Brazil (Brasilia)

Kwa wanaioshi Brazil (Brasilia)

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2008
Posts
549
Reaction score
23
Naomba kuulizia watanzania wanaoishi Brazili kwenye mji wa Brasilia...! Mimi ni mgeni natarajia kuja huko Brasilia kibiashara. Naomba msaada wenu wa kujua hoteli za bei rahisi walau kuanzia Dola 50-80 kwa siku...!

Asanteni kwa msaada wenu...!
 
Mbongo popote kambi, fikia ubalozini kama vipi!
 
Weka wazi biashara yako. Usije kuwa mule (punda) wa kubeba ile cargo maarufu. Usiwaingize watu katika matatizo yasiyowahusu.
 
Safari ya Brazil!! Itakuwa madude tu
 
Nakushauri ucheki google au uangalie kama ubalozi wa Tanzania Brasil wana web.
Ukikosa nenda Foreign ministry kwa habari zaidi.
Karibu sana Belize ukipata nafasi...
 
Back
Top Bottom