Eeh bwana umenikumbusha sana hiyo ya Diamond J, ni kweli mabasi ya Scandnavia yalikuwa ndo mabasi, vijana wakapandishwa mabasi pale campus, mabibo na Kijitonyama, vijana wakavishwa shati za njano na kijani,kofia bila kusahau Breakfast na lunch, jioni wakarudishwa wakiwa wanaimba nyimbo za kukisifu chama cha CCM, ndugu nikueleze nini baada ya uchaguzi kuisha, yaliyowapata wenyewe wanajua, Kulikuwa na mgomo wa kupinga 40%, walipigwa virungu mpaka basi.Mara oh chi chi emu chiyo nzuri, sasa kaka na dada ule msosi wa Diamond J, ulilipia??