Kwa wanafunzi, office lens imetoka kwa android

Sijiunga. Ila nina email ya hotmail
 
Iko poa nlikua sijui kama Microsoft wana app nzuri kama hii. Lakini tatizo inakosa feature moja muhimu sana sijui kwenye version ya Android kama ipo ambayo ni "Automatic Capture". Inabidi ipige picha yenyewe pale inapogundua document imejipanga vizuri badala ya kutumia simu kulengesha wakati huko kubonyeza kitufe cha kupigia picha.
Kukosekana kwa hii feature kuna ifanya ipigwe bao kubwa sana na app kama Scannable ya Evernote
 

Hii ina post processing, ukipiga picha upande automatic inajieka sawa. Hebu test eka karatasi angle ya mbali halafu piga picha
 
Chief-Mkwawa Pre-processing inasaidia sana na kupunguza nguvu na muda kupanga document kwenye screen.
Hata quality bado ni tatizo Linganisha hizi picha 2 zote nimepiga nikiwa upande mmoja muda huohuo.

Hiyo hapo juu nimetumia Scannable
The


Hiyo nimetumia office lens (unaweza kuona post processing yake inaacha background)
 
Last edited by a moderator:

huo si mkono wako kaka? naona kama kivuli cha mkono na simu. office lens sio kwa ajili ya kuscan document tu inadetect hadi michoro na kukupa kitu accuracy. why hapo juu hakuna mkono? ni hio app imkitoa kivuli au angle tofauti?
 
Last edited by a moderator:
Angle niliyokaa ni ileile. Kilichosaidia kivuli cha mkono kutoonekana ni kwa sababu ya flash. Scannable ipo accurate sana inapochagua jinsi ya kutumia flash lakini office lens haitambui vizuri mazingira ya flash ingawa ina feature ya auto flash. (Hapo nachanganyikiwa ni kwa nini manake nnavyojua ni kwamba third party apps zinazotumia camera huwa zinapata control kutoka kwenye system camera. Hivyo nilitegema flash kubehave sawa katika apps zote). Office lens ni app nzuri lakini kwa matumizi yangu ya kila cku bado naipa credit scannable.
 
Office lens ipo poa....

Hiyo picha nimepiga bila kujali ila cheki quality


👇👇👇
 
22:00....by office lens.
 

Attachments

  • 1433358173202.jpg
    45 KB · Views: 155

kaka kila kitu unaweza fanya manual, kwa juu kuna menu kama nne, kulia kushoto kuna kialama cha mode unachagua kama iwe photo, document etc then kuna crop ya ku adjust na kueka caption. menu hizi utaziona ukishapiga picha.

by the way point yangu ninayosema sio kuscan, kuna app kibao zinascan. hii app ni bora zaidi sababu inascan na kufanya ocr, nimechukua mfano wa gazeti uelewe zaidi.

hiki ni kipande cha gazeti nimekipiga picha, picha haina flash, haina mwanga na haijatoka vizuri sababu simu yangu sio nzuri.



lakini hii app japo picha mbaya imeitambua, imeshaisave kwenye onedrive yangu na imeconvert picha kuja maandishi


hayo ni maandishi ambayo yapo kwenye microsoft word process yote imefanyika automatic, hilo neno lenye N kubwa halijatokea ila maneno mengine yametoka na naweza kuya edit.

hii feature ni nzuri huna haja ya kutoa photocopy material ya kujisomea just piga picha vizuri yote yanageuka soft copy inayoweza kueditika, wale wazee wa kucopy assignment ndo kabisaa hii inawahusu.
 
Nieleweshe vizuri hapo Chief, hiyo picha ya kwanza wakati napiga inakuwa na hizo options hapo, nachagua ipi??? Katika picha ya pili baada ya kumaliza kupiga picha inanipeleka halo. Naweka tiki ktk option ipi halo Ili niweze save?
 

Attachments

  • 1433365261583.jpg
    17.3 KB · Views: 201
  • 1433365276644.jpg
    21.7 KB · Views: 198
Nieleweshe vizuri hapo Chief, hiyo picha ya kwanza wakati napiga inakuwa na hizo options hapo, nachagua ipi??? Katika picha ya pili baada ya kumaliza kupiga picha inanipeleka halo. Naweka tiki ktk option ipi halo Ili niweze save?

Mpaka picha ya pili upo sahihi, ukibonyeza hiko kialama cha tik inajisave kwenye simu.

Kama unataka iende kwenye microsoft word unatick word (kwenye pic ya pili) then ndio uneka ok.

Ila kabla haijaenda kwenye word inajisave kwenye onedrive hope unayo kwenye simu. Na kama una onedrive kwenye pc na internet hapo hapo file lako linakuwa kwenye pc
 

Halo nimekuelewa mkuu. Ngoja niendelee kutumia. Nikiwa swali nitarudi kwa msaada zaidi.
 

Mkuu mbona yangu haiji ku edit na nina one drive au lazima niwe na Microsoft word?????
 
Mkuu mbona yangu haiji ku edit na nina one drive au lazima niwe na Microsoft word?????
Mi naifungulia online kwenye browser hio word, nikisha export kama word naclick open inafunguka online
 
Mkuu mbona mimi nikiend kwenye onedrive linafunguk kama picha tuu sipati maneno natumia Wp office kufungulia hyo onedrive

Nature ya hio document ipoje? Ni maandishi? Unaweza kui upload nitest?
 

Mkuu msaada wa apps ya ku scann vyeti vyangu mkuu katika ubora mzuri ili ni upload maombi yangu ya chuo NACTE ahsanteh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…