Kwa wanachuo na waliopitia chuo na wengine karibuni

Konnie umenikumbusha kuna siku nilimskia mtu anasema alikuwa mzumbe moro, akaomba uhamisho aje cbe manake anataka kukaa dar. Chezeiya disco eeh?
Kumbe udsm kuna kozi ya veta? Nataka kusomea upishi.
hata niliyechoma UDSM, kozi ya veta nakaribishwa?
 
wapo wana CASFETA waliooana wakiwa hapo hapo chuoni, na wengine waliooana baadaye. japo kua ni wachache ila wapo wanchuo wano oana. jambo la msingi ni kumwamini Mungu, na chagugua kundi linalo kufaa. chuoni kila haina ya watu wapo, kama ni wapendwa wapo, kama ni mabuzi utawapata na watu ambao wako serious wapo.

Jambo la msini define yourself!
 
siri za chuoni kama kweli tungekuwa tunaona au tukafunuliwa kwa wale ambao chuoni hawajafika ni aibu usingewaza kwenda kuoa au hata kutongoza maana ni madangulo ya umalaya wala si shule. Wengi wanajiuza si ndani ya nchi hata nje ya nchi hasa kwa kina dada ni aibu sana. dada zetu badilikeni mnatutia aibu hatakama uchumi ni mbaya lakini isiwe tija ya kuuza utu wenu kama unawaka tamaa tafuta mmjoa kaa naye na sikujiuza
 

Dah! aisee hapo mzee umeua kwelikweli! kweli tupu wala hakuna ubishi!
 
Acheni kegeneralize vitu mbona hata mtaani watu wanamabwana kibao kuna mlipa kodi, wasaloon,washopping , wamsosi na washowoff a.k.a handsome sasa mnaposema vyuoni mnakosea. Maclassmate wangu wengi wameolewa na maboyfriend zao wa chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…