Tutaendelea kumtambua Lema kama mbunge wa Arusha, na hata kama atatuhamasisha tulipe kodi ili aendeleze alichokuwa anakipanga kwa watu wa arusha. na tutatambua uongozi wake kwa kipindi chote mpaka 2015, mfano watu waliomchagua 2010 ni 56000, kila mmoja akiwa anatoa sh 1000 kwa kila baada ya miezi miwili Lema atakusanya kiasi cha sh. 112,000,000 kwa mwaka atapata 112,000,000 X 6 = 672,000,000 inatosha kuendelea kusomesha watoto na pia kuendelea kutekeleza miradi bila kutegemea mfumo wa magamba. jamba kubwa hapo likiwa ni kuendelea kuonyesha kuwa mshikamano na upendo ni mhimu zaidi kuliko hata huo ubunge
@ Darick wazo zuri sana, tutafanya chochote watakachosema makamanda wetu kwa manufaa ya watu wa Arusha!
Mshikamano daima.

Ndio maana nikasema kwa maslahi yetu watu wa arusha, ni mjinga peke ake ndie awezae kufanya kila kitu bila kuchanganya na zake!..Usifanye kila kitu sweety lady changanya na za kwako! wengine wapo kimaslahi zaidi!
Hatuhitaji pesa chafu.Wazo zuri kamanda tutajitahidi kuchanga mpaka kieleweke.
Wazo zuri kamanda tutajitahidi kuchanga mpaka kieleweke.
We nae wawapi? Unadanganyika na huyo mnafiki?Hivi ID yako leo kuna mtu anaitumia nini? Hebu nikupe muda nione muelekeo wako.
Wazo zuri kamanda tutajitahidi kuchanga mpaka kieleweke.
jukwaa la siasa limejaa?
Ny$$%%@#$%....Mjengeeni na BUNGE lake lakini sio la dodoma!
Mahakama imeshaamua na ni muhimili unaojitegemea! Heshimuni maamuzi!