Faida 10 za Goli la Ibrahim Ajibu
1. Unaweza kutumia kama Ada ya mtoto shule
2. Unaweza kulipa mishahara ya Kagere, okwi, kichuya na wachezaji 10 wakitanzania
3. Unaweza kutumia kama leseni gari
4. Uondoa chunusi, hasara, tetekuwanga
5. Unaweza kuingia nchi 10 za Africa na 5 za ulaya bila viza
6. Unaweza kuomba mkopo CRDB, NBC, NMB na BOA.
7. Unaweza kutumia kama chumvi kwenye chakula
8. Unaweza kutumia kama dawa ya nguvu za kiume
9. Unaweza kutumia kama mahari ukweni.
10. Unaweza kutumia kama bando LA internet kwa Mwezi mzima mahali popote chini.
Tafadhari Tumia Goli la Ajibu Mara nyingi uwezavyo.