Kwa wana UKAWA tu

Kwa wana UKAWA tu

Kweli tuwe makini sana,Magufuli yupo vizuri

NA ENDAPO CCM IKASHINDWA, CHAMA KISIITWE TENA CHAMA CHA MAPINDUZI. MAANA ya JINA ITAKUWA IMESALITIWA. "MAPINDUZI DAIMA" itakosa maana. nina imani ccm haina sababu za kushindwa.
 
Suwezi kuacha kuishabikia yanga kisa Amis Tambwe ni mamluki kutoka simba VIVA LOWASA VIVA.
 
Ni wajinga tu wanaoamin mabadiliko yataletwa na lowasa
 
I always wondering...kuwa na mamvi baada ya kukatwa...agenda ya ufisadi kuisha...kutaka kuitoa ccm madarakani na kumrudisha mccm wa zamani...zero kujiunga na mccm mamvi..slaa na lipumba kumwaga mzigo...politics za kuona mfumo wa ccm mbovu na sio mfumo uliomweka mamvi cdm ndio mbovu......please give me a break...

CDM death is just around the corner

Hata wakimroga mtikila
Ukweli lazima uwekwe wazi
Lowasa hatoshi kuwa rais
na hatakuwa
 
Dah!
SASA KAMA LOWASA NIWA KUCHONGWA, SI UHAMIE KWA MAGUFULI WA KUFYATULIWA?

NDIO MAANA UKAITWA UCHAGUZI.

He he eti UVCCM leo wawa wana-UKAWA!!!
 
Mtu uko c.c.m halafu unatudanganya eti ni mwana ukawa!?
-kwani ukawa ni chama huu ni muungano wa vyama hivyo kuuelezea kwa misingi ya kisiasa naona umekurupuka sana....!

.
.swali la kujiuliza kwanini baada ya kutuma thread jukwaani watu wa kwanza wote kuchangia ni wana c.c.m?

-"c.c.m acheni siasa za kinafiki....hazitawapeleka popote mwaka huu.."
 
ndugu wapenzi na wanachadema halisi na mageuzi kwa ujumla, haihitaji kuwa na degree kujua tumesaritiwa na watu tuliwaamini na kuwapa vyeo ndani ya chama chetu ili watuongoze, cheo ni dhamana,
hatutakiwi kubeba makosa ya mbowe wala yeyote, kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.

Kutuletea mgombea uraisi wa kuchonga ni jambo lisiloingia akilini! Katika watu wote ina maana hakuna mtu ambaye angefaa kuongoza nchi? Ina maana chama chetu kwa muda wote ni mamburula?

Kweli tunafikia sehemu kwenda ikulu kwa kudandia lift ya gari bovu liliachwa na ccm!! Hii haiingiii akilini! Huu ni udhalilishwaji mkubwa wa wanamageuzi wote! Ndo maana wanamageuzi wa kweli wengi wamepiga u turn! Bora tuwape ccm waendelee kuongoza japo kwa miaka mitano ili tujipange upya.

Kurudisha majeshi nyuma ukijipanga ni mbinu ya kijeshi. Kwa hapa tulipofikia tukiendee mbele bila kujipanga upya hatutakuwa na real cause ya kuendelea na mapambano maana majemedali wetu wamepigika kiaakili, wako insane, hawana clear mind.

Mwanajeshi mtiifu yeyote kinachotakiwa kwa sasa ni kutumia akili na means yeyote kuwaweka kando hawa majemedari na kurudi nyuma ili tujipange kuepusha maafa na madhara zaidi.

Jeshi letu limeeingiliwa na mamluki aliyokuja nayo huyu mgombea wa kuchonga, wanatutumia tu kwa malengo maalum kwa kipindi hiki! Tusiiombe wapate wanachotaka! Tutalia na kusaga meno jinsi watakavyotutifua! Wao hawana chakupoteza! Ndo maana nawaomba sana wanamageuzi tufumbue macho! Tafakari watu waliokuwa upande wa pili wamekuja huku kwa wingi na mambo yao yaleyale waliyokuwa wanayafanya kule ikiwemo matusi na kejeli na dharau kwa mtu anaye tofautiana nao mawazo!

Kwao matusi wala sio issue! Kwao kuongopa wala sio issue! Tabia ya virusi inapoingia kwenye system ina act kama genuine software kumbe ukishaikubali inaanza kula mafile na hatimaye kucolapse system nzima.

Wanamageuzi tuungane kukataa mageuzi ya kitapeli haya ya virusi kwa njia moja tu, tuwape ccm muhula mmoja then kipindi hiki tujipange kwa mageuzi ya kweli.

Tupingane na mabadiriko yasiyoweza kuratibiwa.
Kama tunaipenda nchi yetu tukatae huu mkusanyiko wa chui wenye njaa wanaohubiri kukomboa kondoo kutoka zizi la simba walio shiba.

Kwa pamoja tunaweza:

"tumesaritiwa"!!??
Jinga sana veve rudi shule kwanza.....!
 
jamani ukawa ni chama? kimesajiliwa lini? chama kinachotambulika ni chadema ndio maana anaitwa mgombea wa chadema akiungwa mkono na waliokuwa wanatetea katiba iliyopendekezwa na wananchi. wana muunga mkono tu lakini kisheria chama ukawa hamna,
cuf, nccr cjui nini mmepigwa changa la macho msicheze na wachaga/watu wa kilimanjaro/ arusha nyie hapa ni madili ya hela tu kila kitu ni mradi mtu akifika dau tunampa mzigo hatulali njaa (joke)
 
Nilidhan ni uzushi kusema kuna watu wametumwa... Kumbe ni kweli... Ndo nayaona sasa
 
Hili suala la "CHADEMA kuuzwa" "CHADEMA asilia" na mauza uza mengine hayawasaidii kwa sasa!!!
 
ndugu wapenzi na wanachadema halisi na mageuzi kwa ujumla, haihitaji kuwa na degree kujua tumesaritiwa na watu tuliwaamini na kuwapa vyeo ndani ya chama chetu ili watuongoze, cheo ni dhamana,
hatutakiwi kubeba makosa ya mbowe wala yeyote, kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.

Kutuletea mgombea uraisi wa kuchonga ni jambo lisiloingia akilini! Katika watu wote ina maana hakuna mtu ambaye angefaa kuongoza nchi? Ina maana chama chetu kwa muda wote ni mamburula?

Kweli tunafikia sehemu kwenda ikulu kwa kudandia lift ya gari bovu liliachwa na ccm!! Hii haiingiii akilini! Huu ni udhalilishwaji mkubwa wa wanamageuzi wote! Ndo maana wanamageuzi wa kweli wengi wamepiga u turn! Bora tuwape ccm waendelee kuongoza japo kwa miaka mitano ili tujipange upya.

Kurudisha majeshi nyuma ukijipanga ni mbinu ya kijeshi. Kwa hapa tulipofikia tukiendee mbele bila kujipanga upya hatutakuwa na real cause ya kuendelea na mapambano maana majemedali wetu wamepigika kiaakili, wako insane, hawana clear mind.

Mwanajeshi mtiifu yeyote kinachotakiwa kwa sasa ni kutumia akili na means yeyote kuwaweka kando hawa majemedari na kurudi nyuma ili tujipange kuepusha maafa na madhara zaidi.

Jeshi letu limeeingiliwa na mamluki aliyokuja nayo huyu mgombea wa kuchonga, wanatutumia tu kwa malengo maalum kwa kipindi hiki! Tusiiombe wapate wanachotaka! Tutalia na kusaga meno jinsi watakavyotutifua! Wao hawana chakupoteza! Ndo maana nawaomba sana wanamageuzi tufumbue macho! Tafakari watu waliokuwa upande wa pili wamekuja huku kwa wingi na mambo yao yaleyale waliyokuwa wanayafanya kule ikiwemo matusi na kejeli na dharau kwa mtu anaye tofautiana nao mawazo!

Kwao matusi wala sio issue! Kwao kuongopa wala sio issue! Tabia ya virusi inapoingia kwenye system ina act kama genuine software kumbe ukishaikubali inaanza kula mafile na hatimaye kucolapse system nzima.

Wanamageuzi tuungane kukataa mageuzi ya kitapeli haya ya virusi kwa njia moja tu, tuwape ccm muhula mmoja then kipindi hiki tujipange kwa mageuzi ya kweli.

Tupingane na mabadiriko yasiyoweza kuratibiwa.
Kama tunaipenda nchi yetu tukatae huu mkusanyiko wa chui wenye njaa wanaohubiri kukomboa kondoo kutoka zizi la simba walio shiba.

Kwa pamoja tunaweza:

huna a.ki.li ww , wapo watu wanao kula panya,wengine nyoka, wengine nguruwe kama ww hutaki kitu fulani achana nacho kimya kimya
mm nakufuatilia nikajua unaleta kitu kilicho kwenda shule kumbe mkunungu huo
nenda zako,
kuna story moja ya kima na mamba darasa la tatu naona ndio unayo yeta ww mamba unadanganya kima ila sasa janja yako ndogo,mamba alimwambia kima wakiwa wanavuka bahari kua mama yake mgonjwa na dawa yake nimoyo wa kima ,kima akamwambia mamba kuwa ni mzembe kwa nn hakumweleza tangu walipomkua nchi kavu maana ameacha bags and bags za mioyo ,mamba akamrudisha kima amchukulie hiyo kitu agegede looh kima alipo kwea juu ya mti akamwambia mamba
sikia mm sio rafiki yako na siyumbishwi na uroho na unafki wako nenda zaako, sikutaki tena
na mm nakwambia ukome kutuita wanaukawa hapa kuturubuni kwa upeo wako mdogo, kaa chini na unyooshe miguu
 
Back
Top Bottom