kwa wana udom wote.! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wana udom wote.!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kingxvi, May 1, 2011.

 1. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tunaangalia
  uwezekano wa kwenda kuuzuia
  uchaguzi wote wa udoso na
  college zake mahakamani siku
  yoyote kuanzia kesho kutokana
  na sababu zifuatazo
  1.college of informatic imefungwa
  hivyo watu zaidi ya 1200
  watakosa haki yao ya
  kidemokrasia kuchagua rais wa
  federation.
  2.vigezo wanavyotumia kupitisha
  wagombea vinakinzana na
  demokrasia
  3.katiba mpya ya udoso kisha ndio ufanyike uchaguzi
  n.b: nimeshawasiliana na mwanasheria wangu kwa ajiri ya taratibu zote.!
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  kila la heri broo...
   
 3. S

  Sebali Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupo pamoja mh! Tunahitaji kuona wanaharakati wa kweli wa kuitafuta haki!
   
 4. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Acheni kupoteza muda nyie. Nendeni mkasome
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  May 2, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Nakushauri usomee BA Upuuzi.
   
 6. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,246
  Trophy Points: 280
  We si umeshafukuzwa! acha wenzako wasome! MI SUP kibao inawazungusha vchwa tena na wewe na lako la Mahakamani.
   
Loading...