Kima mdogo
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 303
- 46
Yaani mkuu, wameshaona JF nayo ni mwiba kwao!! Ni vizuri watu wanaoanzisha maada nzito nzito, ziwe relevant na issue yenyewe pamoja na ushahidi! bila hivyo ni kuzifuta tu.sio wanaivuruga JF tu wanamsababishia Maxence Melo na Mike kuisha maisha ya kusakamwa na watu wa serikali, hawa ndugu zetu wanaishi bila amani kutoka na upuuzi wa baadhi ya members humu ndani,
tatizo liko kwa mods, sijui wamelala,wameacha kazi au wako likizo!Yaani mkuu, wameshaona JF nayo ni mwiba kwao!! Ni vizuri watu wanaoanzisha maada nzito nzito, ziwe relevant na issue yenyewe pamoja na ushahidi! bila hivyo ni kuzifuta tu.
washindwe katika jina la yesu.
jina la yesu halisaidii,washindwe katika jina la chadema,peooooooopleeeeeees powerrrrrrrrrrrrrrrrwashindwe katika jina la yesu.
lengo lao lingine ni kuivuruga jf.
mapungufu ya chadema yasemwe lakini tatizo nyingi ni mada za uongo na uzushi,Mmmh kwa kuwa kaguswa chadema angeguswa sisiem?
Mmmh kwa kuwa kaguswa chadema angeguswa sisiem?
na kuvuruga jukwaa letu la siasa,ili tuache kujadili mambo ya msingi na uchafu unaofanywa ndani ya serikali yetu. Mwana cdm usije ukatokwa povu kwa thread za kimagumashi.
Kuna kundi la wana jf wapya na wakongwe wanaoanzisha thread mara kwa mara kukizushia chama cha chadema na viongozi wake mambo ya uongo, mfano wa thred hizo ni kama "MPASUKO NDANI YA CHADEMA" na nyingine nyingi km LEMA AMFANANISHA WASIRA NA SOKWE, HALIMA MDEE AMFANANISIA WASIRA NA SOKWE. Ewe mwana jf tambua kabisa lengo la kikundi hiki ni kuwavunja wanachadema moyo, kuivuruga chaema na kuipa ccm nguvu ili iendelee kutawala na kuwanyonya Watanzania. UNAPOKUTA THREAD KAMA HIZO ZIPOTEZEE