mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 19,979
- 49,078
Kwa uelewa wangu sehemu kubwa ya barabara ya Nyerere yaani Pugu Road ya zamani, iko wilaya ya ilala ,kuanzia pugu,ukonga ,airport,kiwalani, vingunguti,buguruni ,mpaka mnazi mmoja.japo kunabaadhi ya maeneo kama junction ya keko ule upande wa veta ni dhairi shairi yapo temeke ,tukirudi tazara pale ndio kuna NMC ya zamani sasa Azam mi naelewa pale ni buguruni na ni Ilala ila kuna mwanasiasa mmoja toka Temeke kaposti kwenye mitandao kuwa anajivunia flyover ya kwanza nchini kujengwa kwenye wilaya yake ya Temeke,huyu asije akawa kama Iddi Amini kujitangazia kuwa Kagera iko Uganda
Abdallah Mtolea added 9 new photos.
April 16 at 12:23pm ·
Uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa flyover eneo la Tazara na JPM. Daraja hili litakamilika October 2018 na itakuwa flyover ya kwanza hapa nchini inayopatikana Temeke. Viva TMK
+5
LikeShow more reactions
CommentShare
Abdallah Mtolea added 9 new photos.
April 16 at 12:23pm ·
Uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa flyover eneo la Tazara na JPM. Daraja hili litakamilika October 2018 na itakuwa flyover ya kwanza hapa nchini inayopatikana Temeke. Viva TMK
+5
LikeShow more reactions
CommentShare