Kwa wana chadema wote

Kwa wana chadema wote

Naomba jibu wana cdm je ccm ikishinda itakuwaje? Au mtasema mmeibiwa?
 
Mwanza tunawakubali sana Arusha, pigeni kazi msisahau kulinda kura hata kama itakuwaje...
 
radhia; Pole sana, kibarua ulichopewa ni kigumu.Imekubidi ukubali kujifanya mjinga,msahaulifu na mwenye fikra ndogo kiasi cha kuamini katika wapiga kura 60,000 CHADEMA hawatapata kura hata 1.Mimi ninawahurumia waliokulea wakiamini utakuwa mwerevu kumbe ndivyo sivyo!
 
Last edited by a moderator:

Wana Arusha msifanye makosa Kataa ccm Tanzania ipone.


Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha munisi ni kiboko ya magamba dah hahaha ndio maana wanataka kumuua !
 
Last edited by a moderator:
Huyu Mdada leo ndo sterling...na sterling hauawi mnashambulia sana lakini yupo tu.
 
radhia; Pole sana, kibarua ulichopewa ni kigumu.Imekubidi ukubali kujifanya mjinga,msahaulifu na mwenye fikra ndogo kiasi cha kuamini katika wapiga kura 60,000 CHADEMA hawatapata kura hata 1.Mimi ninawahurumia waliokulea wakiamini utakuwa mwerevu kumbe ndivyo sivyo!

Radhia kama hujui lengo lake kuwa intimidate,kadri anavyowachokonoa ndo mnavyozidi kumwaga matusi,watu wenye heshima zao wanasoma matusi na kuconclude kuwa kumbe hili lichama la wavuta bange,hata kama kura hazipungua arusha kwani ni ngome kuu ya chadema lakini lazima zipungue kwingine.
 
Last edited by a moderator:
Wakishinda kata zote je? Utaachika?

wakishinda ccm hata kata moja tu hapo ni setback kwa cdm kwani hapo ndo ngome yao kuu,cdm wanatakiwa washinde tu ili kumaintain madai yao ya kuwa arusha ni ngome ya chadema.
 
Back
Top Bottom