Kwa wana chadema wote

Kwa wana chadema wote

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
Nikianza na Bibi,watoto pamoja na wajukuu wa bibi mong'o,wageni wote ambao sio wazawa wa A.town,ila ni wakazi wa hapa na wana shahada za kupiga kura kwa na wakazi wa maeneo husika tunawaomba mjitokeze kwa wingi kesho katika kupiga kura na kuzilinda
kwani ni haki yetu ya kidemokrasia tusiipoteze,washauri na nduguzako pia usisahau kwani usiku huu hakuna kulala ni kuhamasishana tu mpaka kielewele,

by: fufii
Mkuu PISTO umesahau kuwaambie wasivae magwanda ili hayo magwanda mapya mwigulu anayowagawia green guard yaonekane kwa urahisi.

MR.ABLE
IKATAE CCM TANZANIA IPONE
http://www.youtube.com/watch?v=-k3asX6VDAQ
 
Ninaongea na babu yangu na bibi yangu hapa na nitawapa usafiri wa kuja kuipigia kura chadema hapa.Tupo pamoja hapa.
 
sijui kesho watakufa watu wangapi
 
wewe unaijua arusha au unaongea umelewa au nini?.kama upo arusha naomba uje uongee hapa mitaani uone.Husiongee tu au wewe ndio watu wanaopata vumbi la ccm.ulishawahi kumsaidia mtoto wa shangazi yako wewe,mtoto wa binamu wako wewe.unajua sisi tunatafuta total wokovu kwa nchi nzima sio wewe unaanglia nini magamba wanakupa.Mimi nina njaa kubwa kuliko wewe dada,lakini sitaki kucheza kama unavyofanya wewe.wewe unajua kabisa nchi inaelekea wapi.na nini wajibu wako kusaidia.
 
Mode tuheshimu sheria za nchi ... Kampeni haziruhusiwe anymore!
 
Apa yenyewe ninaomba itakucha saa ngapi..!!!!
Kesho CCM itasahau Arusha.!!
N'ndebanga nkate CCM..
 
Kila la kheri makamanda huko arusha,najua shuhuli ya kesho haitakuwa ndogo binafsi nauona uchaguzi wa kesho kama mpambano mkali sana wa watani wa jadi japo huo umevuka na sioni kama ni utani tena ila uadui ulio wazi,nimeshasema mara nyingi kuwa kwa hali ilivyo sasa kuishinda CCM ni kazi ngumu sana,tena sana.....na sio kwa sababu wanakubalika au wana sera nzuri la hasha! Refa wao,uwanja wao......ila naamini kauli mbiu ya makamanda,kuanza na Mungu na kumaliza na Mungu......Mungu ibariki Arusha,Mungu ibariki CDM.
 
Nikianza na watoto pamoja na wajukuu wa bibi mong'o,wageni wote ambao sio wazawa wa a.town.ila ni wakazi wa hapa na wana shahada za kupiga kura kwa wakazi wa maeneo husika tunawaomba mjitokeze kwa wingi kesho katika kupiga kura na kuzilinda kwa ni ni haki yetu tusiipoteze.

Mkuu PISTO umesahau kuwaambie wasivae magwanda ili hayo magwanda mapya mwigulu anayowagawia green guard yaonekane kwa urahisi.
 
Nikianza na watoto pamoja na wajukuu wa bibi mong'o,wageni wote ambao sio wazawa wa a.town.ila ni wakazi wa hapa na wana shahada za kupiga kura kwa wakazi wa maeneo husika tunawaomba mjitokeze kwa wingi kesho katika kupiga kura na kuzilinda kwa ni ni haki yetu tusiipoteze.
Peleka blogu ya CHADEMA
 

Wana Arusha msifanye makosa Kataa ccm Tanzania ipone.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom