Kwa wana CHADEMA halisi

Mimi nataka kujiunga na chadema asilia, nitajie viongozi wetu.
 
Haya ushapost upungese nenda kakojoe ukalale sasa.. mmh
 
Last edited by a moderator:
kama CHADEMA imekushinda bora uhame kimyakimya kuliko hiki ulichokiandika hapa
 
2013, Madela Wa- Madilu,

..siyo rahisi hata kidogo kwa cdm kuzorota kama nccr.

..cdm tayari kimeshaweka misingi ya kitaasisi. Nccr hawakufanya hivyo wakati walipokuwa maarufu.

..cdm pia ina hazina ya viongozi ambao wana wito wa kufanya siasa na harakati. Nccr iliundwa na viongozi ambao walikuwa wanasheria maarufu ni masuala ya siasa walikuwa wanafanya on part-time basis.

..cdm hata wakishindwa wataendelea kuwepo tu na hata kustawi zaidi. Sasa hivi ni wapinzani, kwa hiyo hawatakuwa ktk mazingira yoyote yale mapya ikiwa watashindwa.

..chama ambacho kitakuwa na wakati mgumu ikiwa kitashindwa ni ccm. Hawa wamezoea kubebwa na dola. Pia viongozi wake wengi wapo kimaslahi zaidi, na vilevile hawana mtaji wa viongozi wenye wito wa kufanya siasa za upinzani.

..hivi unategemea watu kama philip mangula, abdulrahman kinana, john magufuli, samia suluhu, january makamba, na wengine wanaweza kuvumilia shuluba na dhiki za kufanya siasa za upinzani ikiwa ccm watashindwa?

..ccm ni sawa na watoto wa "kula-kulala" au "openi-friji", kila kitu wanapewa na baba. Sasa siku baba akitangulia mbele za haki watoto huingia ktk dhiki na mifarakano isiyoelezeka.

Cc ZeMarcopolo, zumbemkuu, Mkandara, NasDaz
 
Last edited by a moderator:

Akili ya ngiri @ work
 

Kamanda umempatia jibu tosha huyo gamba luwala
 
Mkuu hongera kwa mchanganuo mzuri ingawa nasikitika kuwa hakuna atakayekuelewa kwa kipindi hiki....tena unaweza ukaambulia matusi.....

Hilo gamba halina akili kabisa ni afadhali ya kichaa kuliko huyo gamba mwenzako
 
tuondolee uchiz wako apa! sasa c uende ccm uko kwan lazima ubaki chadema? au unataka mitus saa hz
 
Kwa sasa mabadiliko ni kitu muhimu kuliko MTU yeyote.Lowasa ndiye chaguo la wengi
 
Hivi kuna mtu anaweza soma hilo bandiko hadi mwisho? Chadema halisi ni nini....... tulieni October mtapata majibu

Hata Team Lowassa washashtuka.
Kaa utulie dawa iingie..mliambiwa mkatukana watu 😆
 
Ni ngumu kubadilisha akili ya mtu,bakini na ccm yenu ila mm na familia yangu,TUTAPIGIA UKAWA.
 
Hivi kuna mtu anaweza soma hilo bandiko hadi mwisho? Chadema halisi ni nini....... tulieni October mtapata majibu

Umenisemea na mimi. Sentensi ya kwanza nikaenda ya mwisho kabla ya kudelete nikaona andiko lako. Anahubiri mabadiliko kupitia "CCM ni ileile!!!!!". Nyambafu zake!!!!
 
mmh, MM, etc - viumbe kama nyinyi, hamuwezi na hamtokuja kuweza kubadilisha fikra hata ya Mtz mmoja. Na mnavyotumika kujaribu kuigawa UKAWA na Chadema nawaambia sisimizi akiwa katikati ya bahari udhani yuko peke yake baharini kumbe nchi kavu wapo mamilioni.
 

Mm namisi uandishi wako na babu Asprin yuko wapi huyu concord wa jf
 
Hapa naona huu Uzi in wa magamba maana Mimi tangu 2005 sijawahi sikia chadema halis
 
njoo na wazo mbadala kama unalo maana sijaelewa ulichomaanisha

Ndugu post no. 2 naona imeondolewa, nairejea tena. Bandiko lako ni la Hovyoooo!, unatofautiana vipi na hao unao waita wasaliti kwa kutuhamasisha tuipigie kura ccm??. Wewe si ni chadema asilia??. Hebu twambie katiba ya chadema inamtaka mwana chama mpya akae muda gani ili awe na haki ya kugombea nyadhifa mbali mbali ktk chama?????
 

Wewe na nani? Kura yangu kwa Lowasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…