Jamaa mjanja anasema "USIPOJUA KABISA" kiingereza hela yako inarudishwa.Hayo maneno ya USIPOJUA KABISA ndio mtego wenyewe maana haiwezekani usijue kabisa
Mi nimeenda nimesoma miezi mi tatu nikawa sijajua nikaenda kudai changa akaniuliza 'what is your name? Nikamjibu akaniuliza icho ulichoongea ni kinyakiusa au kingereza ikabidi niondoke mdogo mdogoo