Kwa waliowahi kubadilisha wapenzi

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
5,454
Reaction score
1,569
Napenda niaze hivi, zimebaki siku 18 kupiga kura.

Baada ya utangulizi huo sasa tusogee kwenye mada. Kama uliwahi kuishi na mpenzi zaidi ya mmoja na ukabadilihsa kwa sababu moja au nyengine, nielezee mabadiliko uliyoyaona kati ya wapenzi hao.
 
Maswali mengine yanahitaji majibu kwa njia ya praktiko
 
Majibu ni mawili!
1.Ulijiona mjinga sana kwakumbadilisha aliyekua mwema kwako na kukaribisha shetwani!!(kuruka mkojo na kwenda kukanyaga nnya )
2.Kuona fahari kutoka kwa uliyekua naye mwanzo sababu umempata bora zaidi.
 
Napenda niaze hivi, zimebaki siku 18 kupiga kura.

Baada ya utangulizi huo sasa tusogee kwenye mada. Kama uliwahi kuishi na mpenzi zaidi ya mmoja na ukabadilihsa kwa sababu moja au nyengine, nielezee mabadiliko uliyoyaona kati ya wapenzi hao.

Mbadiliko mengi tu.
1. Jina
2. Sura
3. Rangi ya ngozi ( from blackdent to whitedent)
4. Mautundu na maujanza.
5. Gharama na matumizi kuongezeka au kupungua.
6. Kubadilisha marafiki na kupata marafiki wapya
 
Hakuna mabadiliko yoyote sana sana anawea akawa poyoyo kuliko yule choosen one
 
mi mwenyewe ngoja nikatoe lock kwanza, i'll b back.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…