Kwa waliosoma vyuo vilivyo chini ya NACTE, certificates na transcript zinatoka lini?

zimwilachi

Member
Oct 22, 2016
40
23
Nahitaji msaada wa kufahamu baada ya kuhitimu chuo kilicho chini ya NACTE ni baada ya muda gani Acedemic certificates and Transcripts zinakua tayari zishafika kwenye chuo husika. Natanguliza shukrani.
 
Nitolee mfano dít transcript tulipata baada ya miezi 8 inamaana nili graduate 2015 mwezi wa 7 transcript nikapata mwezi wa 3 pia till now hakuna cheti na tumefuatilia sana lakini hakuna jibu la maana.
Nafikiri umeona hiyo picha halisi
 
Back
Top Bottom