Kwa waliorudishwa nyumbani wakati walikuwa wameajiriwa inakuwaje?

nkanga chief

JF-Expert Member
May 31, 2016
2,084
1,622
Watarudishwa kweli au ndo imeshakula kwao? Wengine walikuwa wameshapewa na pesa ya kujikimu wakajaza na mikataba yote ya ajira kila kitu na wakaanza na kazi but now wamerudishwa.

Hatima yao nini?
 
kuna watu waliajiriwa na serikali mwaka huu mwezi wa tano walipewa barua za kusitishwa ajira zao kwa mda uliojulikana wakati walikuwa wamepewa na posho za kujikimu na walikuwa wameshaanza kufanya kazi mwezi mmoja hii shida
 
kazi gani ndugu?
 
Back
Top Bottom