Kwa waliooa/kuolewa hii tabia ni sahihi au?

Kwa waliooa/kuolewa hii tabia ni sahihi au?

LEVEL

Senior Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
195
Reaction score
51
Kuna tabia ya wanawake walio kwenye ndoa kuchukua baadhi ya maamuzi bila kuwashirikisha waume zao baadhi ya maamuzi haya ni kama kuita fundi kuja kutengeneza vitu nyumbani kama friji, tv, nk, wakija wageni nyumbani mwongeaji mkubwa ndo yeye, kitu kikizingua tu ndani anakuwa wa kwanza kutafuta msaada nje wakati mme wake yupo ndani.

Hivi ni sahii kweli kwa mke wa ndoa kufanya haya mambo badala ya kushirikisha uharibifu kwa mmewe alafu mme ndo afanye mchakato
 
Hahahahaha hiyo ya kurekebisha vitu vya ndani ilinikuta eti nafanyiwa surprise,,, surprise wakati hela inatumika?!
 
Hahahahaha hiyo ya kurekebisha vitu vya ndani ilinikuta eti nafanyiwa surprise,,, surprise wakati hela inatumika?!

hahaha! Hii kitu siipendi basi tu
 
Mkeo ameshakudharau kwamba huna maamuzi ndani ya nyumba. Chochote kinachomjia kichwani anafanya akijua hutamfanya chochote.
Na pia inaonekana wewe sio muongeaji sana ndio maana ana-dominate maongezi.
 
Level

Tupo tofauti sana. Tena sana. Natamani mke wangu angekuwa kama huyo. Kitu kikiharibika anatengeneza sio lazima niwepo. Hata kama bulb ikiungua sio amsubiri mume arudi. Awe front. Unamwachia majukumu ya kufatilia anafanya.

Sio mke anakuwa mpole mpaka house girl anamwonea. Hafanyi kitu mpaka ushauri.

Kaka una bonge LA wife
 
A married man has to be a handyman. Wangu hawezi kujaribu hiyo kitu coz I can fix almost everything in the house.
 
Level

Tupo tofauti sana. Tena sana. Natamani mke wangu angekuwa kama huyo. Kitu kikiharibika anatengeneza sio lazima niwepo. Hata kama bulb ikiungua sio amsubiri mume arudi. Awe front. Unamwachia majukumu ya kufatilia anafanya.

Sio mke anakuwa mpole mpaka house girl anamwonea. Hafanyi kitu mpaka ushauri.

Kaka una bonge LA wife

kaka upo sahihi ata mm napenda mchacharikaji ila ukiwa kama mwanaume unajisikiaje unarudi home unakuta fundi chumban eti anarekebisha kabat la nguo nawe taarifa hauna
 
Level

Tupo tofauti sana. Tena sana. Natamani mke wangu angekuwa kama huyo. Kitu kikiharibika anatengeneza sio lazima niwepo. Hata kama bulb ikiungua sio amsubiri mume arudi. Awe front. Unamwachia majukumu ya kufatilia anafanya.

Sio mke anakuwa mpole mpaka house girl anamwonea. Hafanyi kitu mpaka ushauri.

Kaka una bonge LA wife

Kaka kuna jambo na jambo, imagine umerudi nyumbani unamkuta 'mwanaume' ndani yuko busy eti wife anakuambia ni fundi,halafu hukuwa na taarifa kuwa kuna uharibifu uliokuwepo kabla,kama utaridhika basi huna wivu kwa mkeo,simply utakuwa "beberu". Kwa mimi chochote kinachokuwa wrong nyumbani natoa taarifa kwa mume wangu then ananipa go-ahead,na mara nyingi yeye ndiye huwasiliana na fundi. Si kwamba ni kuzubaa bali ni kuepuka kujenga mazingira ya kuhisiana vibaya. Mume ni kichwa cha nyumba,anatakiwa kufahamu chochote kilicho chini ya "himaya" yake kabla ya mtu mwingine,kama atashindwa ndo utafute msaada kutoka nje tena kwa makubaliano.
 
safi sana sasa kama wewe huna msaada wowote kwake hata kitasa tu kufix hujui unataka akutaarifu analeta fundi wa nini wakati huna msaada wowote,wacha aite tu mafundi maana hakuna namna ingine
 
Hapana, nasemea basics kiongozi. Ujuwe kuna watu hata bulbs wanaita fundi?[emoji1] [emoji1]

Yani kama sisi nyumbani taa za chooni imeungua 6months now no msaada. Nikisema nilete fundi ntakuwa nimemdharau?
 
safi sana sasa kama wewe huna msaada wowote kwake hata kitasa tu kufix hujui unataka akutaarifu analeta fundi wa nini wakati huna msaada wowote,wacha aite tu mafundi maana hakuna namna ingine

kasema kwa walio oa/olewa!
Wewe haikuhusu!
 
safi sana sasa kama wewe huna msaada wowote kwake hata kitasa tu kufix hujui unataka akutaarifu analeta fundi wa nini wakati huna msaada wowote,wacha aite tu mafundi maana hakuna namna ingine

Yani nlivyo uona huu uzi nkakukumbuka gafla...

Nkaaanza kupitia comments nkakumbuka ule uzi wako...
Emoj
 
Last edited by a moderator:
Yani nlivyo uona huu uzi nkakukumbuka gafla...

Nkaaanza kupitia comments nkakumbuka ule uzi wako...
Emoj

hahaaa mi niliwaambia wakawa wabishiiii sasa leo akiitwa fundi anaona kero badala ya kutulia
 
Last edited by a moderator:
hahaaa mi niliwaambia wakawa wabishiiii sasa leo akiitwa fundi anaona kero badala ya kutulia

Pokea like, nliona huna point ha haa kumbe ndo hvi....

Itabid wanaume tuwe multipurpose sasa...

Khaaa
 
Back
Top Bottom