Kwa waliolima Kiteto virginland tujuane

Kwa waliolima Kiteto virginland tujuane

Tafuta sumu au ile mihogo pori ukishindwa kabisa nyunyuzia asali mgawane msiba
Nasikia jamaa bora uuwe ndugu yao kuliko kuuwa ngombe wao..watakusaka ulipo na kisasi chao hakiihsi...anyway kuweni na tahadhari sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nasikia jamaa bora uuwe ndugu yao kuliko kuuwa ngombe wao..watakusaka ulipo na kisasi chao hakiihsi...anyway kuweni na tahadhari sana.

#MaendeleoHayanaChama
Ni kweli Bora uachane nao awa jamaa cyo pouwa kabisa
 
Naomb mdau yeyote mwenye kujua kilimo Cha soya kwa hekar mojaavuno yapoje km shamba limetunzwa vzr?
 
Hali ya alizeti Kwa sasa mahindi yameharika sana sababu
IMG_20220415_074151_491.jpg
 
Mimi lengo langu nikamate mashamba makubwa kwa gharama ndogo mkoa wa ruvuma lakn bado cjapata mwongozo mzur hii leo nko songea nitaanza kutembelea maeneo mbali mbali kuanzia kesho, nmeishi manyara miaka kumi mashamba nakod kw lak na nusu, nmeamua ntembelee mkoa hu nione naskia mashamb Bei Chee nkifanikiea nianze kilimo km kichaa na pia nifuge ngombe weng nahc naweza nkatoboa! Dondosha jina la eneo ktk mkoa hu ntakapoweza kulima kw trecta na kufuga ukizngatia mito kwa ajili ya maji y mifugo🙏🙏🙏
Ushaondoka?
 
Npo mbinga bado lakn kwa kias utaft Wang umefikia sehem nzur naenda kujiandaa nfanye malipo ya mashamba
Poa poa,Kuna mashamba tumelipa juzi Kati hapa Kuna mengine yanauzwa.
Km 30 toka Town songea
 
Back
Top Bottom