Kwa waliokosa mkopo

Kwa anefahamu juu ya Tatizo hili,Ni hipi haswa suluhu kwa 1st year alyekosa Mkopo hili aweze kuendelea na masomo 2014/2015
Pia ni hatua zipi zinafatwa katika process ya Kuappeal endapo km hujapata mkopo.Msaada Tafadhari..

hivi muda wa kuappel nao upo, ila kuna jamaa alichaguliwa udom mwaka juzi alivonyimwa mkopo alihairisha mwaka, then mwaka uliofata aliomba udsm na mkopo akapata now naenda kumbeba ud
 
mbon majina ya waliopata mkopo ktk vyuo vya Tia, Ifm, Udom na Mzumbe ni fm6 pekee au diploma watafatia bdae kama ilivotokea kwa TCU ?
 
Naombeni ushauri wanajamvi mm mi mtoto wa mama ntilie I mean masikini nimekosa mkopo wa Chuo wakati niliweka hadi Cheti cha kifo cha baba kukosa kwa juu mkopo mi ishara tosha ya mm kutoendelea na Chuo jee nifanyeje pia unaweza nishaur kupitia namba hii 0652150999
 
mara nyingi wa dploma hawawapagi wanaamini wameeza jilipia two years wataeza three years .... na ata hao form six wamekosa wengi mnoooo
 
mbon majina ya waliopata mkopo ktk vyuo vya Tia, Ifm, Udom na Mzumbe ni fm6 pekee au diploma watafatia bdae kama ilivotokea kwa TCU ?

Ndugu hayo majina ya waliopata mkopo IFM unaweza uka share nasi file hiyo ili tunufaike wote Mkuu?

Please fanya hvyo if possible au PM tukutane.
 
Nenda JKT wala hawaja kataza unaweza kwenda alafu uka omba mkopo mwakani.
Lakini kama tu kwenu hakuna pessa
 
Nenda JKT wala hawaja kataza unaweza kwenda alafu uka omba mkopo mwakani.
Lakini kama tu kwenu hakuna pessa


Jkt tena kufanya nini huko.

Badala ya kupiga kazi kitaani huku ili upate chochote kitu cha kuanzia mwaka ujao katika masomo yako, niende kupoteza muda wangu Jkt.
Khaaah..!
 
tunaomba kaka kama unazifahamu procedurez za kuappeal bhasi, maana wa udom 2nataka 2jue mapemaa kabla hakuja kucha..msaada..ila walinichagua eductn xaxa cjui maana udom nao? coz ya edctn ,mmmh.

aaah kumbe upo udom bas wote tuna tatizo hilohilo
 
Back
Top Bottom