kwa waliokosa mkopo ila wameripoti vyuoni

Bayeke

Member
Oct 3, 2011
18
1
naomba niulize hiyo risiti ya malipo wanayodai ni ya direct cost au ada kwa mwaka wa kwanza.
 
Kuna walikosa mkopo ambao wameripoti vyuoni,sasa naomba kujuzwa wakiwa wanasajiliwa ni lazima walipe nusu ada na direct cost ndiyo wasajiliwe au wakilipa direct cost(accomodation) wanasajiliwa?
 
Cjakuelewa.
Kuna wanafunzi wamelipoti vyuo wakati mkopo hawna,sasa ili wasajiliwe ni lazima walipe ada nusu na na accommodation(direct cost) ndiyo wasajiliwe au ukilipa direct cost huku unasubiria mkopo utasajiliwa?
 
lazima ulipe direct cost nadhan na nusu ya ada yako.
 
@Bayeke na Senetor katika pitapita leo pale chuoni UdBS nikajisahau na kujipa jina la 'NON-PRIORITY' aka 'NO LOAN' nikaulizwa na jamaa kuhusu niliyoyasema, nikamjibu nilichokitamka sikujua natamka nini ila kwa swala la mkopo kweli wame exhaust budget hivyo huu ndo uhalisia, kwa maelezo niloambiwa ni 'LAZIMA'nilipe eidha ada yote au nusu yake pamoja na gharama zingine za chuo lasivyo hakuna nafasi. Katika pitapita maeneo nikakutana na m/funzi mmoja aliyenisimamisha njiani, akanisalimu na kuniomba angalau kama ninapesa kidogo ili akale na kadai alikuwa hajala kwa muda wote alokuwepo nilipomkuta yaani hana pesa kabisa. Je serikali inafikiria na kufanya nini kwa wasomi kugeuka ombaomba mitaani. Huu ni Uungwana?
 
huyo dogo ni mwaka wa ngap coz ce cöntinue 2meisha lambwa bumu.
 
mnh somalia imehamia bongo sasa kwa hali hii
 
Back
Top Bottom