Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,637
- 2,382
Katika hiyo list muondoe Lowasa, yeye alisema maneno mawili tu, 'nimerudi nyumbani'.Kwa uchache mzee Lowasa,Mwambe,Sumaye na wengine mliotuaminisha kwamba mnahama CHADEMA kwenda CCM kwa sababu mnatafuta DEMOKRASIA na DEMOKRASIA hiyo haipo CHADEMA ipo CCM ,mimi nawakumbusha tu sasa ni wakati wenu wakuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM wakati ndiyo huo msisubiri muda unayoyoma.Mwambe na Sumaye kule CHADEMA mlikuwa mnagombea nafasi za chini Uenyekiti wa chama ngazi ya Kanda na Taifa mkashindwa hatimaye mkatimka.Sasa huku kuna nafasi kubwa ya urais tumieni hiyo fursa kutimiza ndoto zenu.Nawatakia kila la kheri ktk kupigania DEMOKRASIA ya kweli
Silazimishi ,nawashawishi na kuwakumbushaUnalazimisha wewe kama nani?
Sawa narekebisha mkuuKatika hiyo list muondoe Lowasa, yeye alisema maneno mawili tu, 'nimerudi nyumbani'.
Mavi ya mbuziii.....!!Kwa uchache tu Mwambe,Sumaye na wengine mliotuaminisha kwamba mnahama CHADEMA kwenda CCM kwa sababu mnatafuta DEMOKRASIA na DEMOKRASIA hiyo haipo CHADEMA ipo CCM ,mimi nawakumbusha tu sasa ni wakati wenu wakuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM wakati ndiyo huo msisubiri muda unayoyoma.Mwambe na Sumaye kule CHADEMA mlikuwa mnagombea nafasi za chini Uenyekiti wa chama ngazi ya Kanda na Taifa mkashindwa hatimaye mkatimka.Sasa huku kuna nafasi kubwa ya urais tumieni hiyo fursa kutimiza ndoto zenu.Nawatakia kila la kheri ktk kupigania DEMOKRASIA ya kweli
Wamekwambia wanautaka urais? Kwani wagombea wa Chadema huwataki?Kwa uchache tu Mwambe,Sumaye na wengine mliotuaminisha kwamba mnahama CHADEMA kwenda CCM kwa sababu mnatafuta DEMOKRASIA na DEMOKRASIA hiyo haipo CHADEMA ipo CCM ,mimi nawakumbusha tu sasa ni wakati wenu wakuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM wakati ndiyo huo msisubiri muda unayoyoma.Mwambe na Sumaye kule CHADEMA mlikuwa mnagombea nafasi za chini Uenyekiti wa chama ngazi ya Kanda na Taifa mkashindwa hatimaye mkatimka.Sasa huku kuna nafasi kubwa ya urais tumieni hiyo fursa kutimiza ndoto zenu.Nawatakia kila la kheri ktk kupigania DEMOKRASIA ya kweli
Hayo ungeyafanya wakati wako CDM, kwa Sasa waachie Wana CCM.Silazimishi ,nawashawishi na kuwakumbusha
Eti bwana, wakati Inafahamika kuwa ilichapishwa form moja tu!.... Na ilisha chukuliwa??.Unalazimisha wewe kama nani?
Unalazimisha wewe kama nani?
Katika hiyo list muondoe Lowasa, yeye alisema maneno mawili tu, 'nimerudi nyumbani'.
Mavi ya mbuziii.....!!
Wamekwambia wanautaka urais? Kwani wagombea wa Chadema huwataki?
Ndugu Administer unaona hii misukule ya ccm ilivyo migumu kuelewa jambo? Mingi inatoka gamboshi za kanda ya ziwa.Hayo ungeyafanya wakati wako CDM, kwa Sasa waachie Wana CCM.