wadau naomba kujuzwa hv baada ya kukamilisha programe selection kwenye application kuna sehemu ya kusave au kusabmit make nmetumia cm yangu lakin sioni chchote badala ya print na
je nkitaka kuangalia programes nilizochagua nafanyaje
mimi bado sijaruhusiwa kuchagua programz upya lkn jina langu lilisha tokea kwa batch 2 ..... ivi ni mimi tu au na wenzangu wengne tafadhar nisaidien kujua wakuu
mimi bado sijaruhusiwa kuchagua programz upya lkn jina langu lilisha tokea kwa batch 2 ..... ivi ni mimi tu au na wenzangu wengne tafadhar nisaidien kujua wakuu
kama jina lipo tangu 2nd batch ila mpaka sasa profile inazingua ni vizuri ungeenda kuwaona manake ata sijasikia mwingine iliyemtokea, au kama upo mbali labda uwatumie tena barua usubirie 4th batch huenda wakakuondoa kwenye system.