Kwa waliochagua B.A Law Enforcement

BALE ni nzuri kwani ina upana mkubwa wa ajira pia unaweza kujiajiri.. Unaweza ukafungua Foremsics Company pia Law Enforcement unaweza kuwa wakili kama ifuatavyo. LLB wanasoma miaka minne na wanapaswa kwenda Law School lakini Bale unaweza kusoma kwa miaka mitatu ukiona unataka kuwa advocate nenda kasomo Post Graduate ya Law ukimaliza unaruhusiwa kwenda Law Schhol ukasomee uanasheria direct. Hii haina tofauti na mtu aloenda LLB miaka minne na akaenda Law School mwaka mmoja.. Tena unakuta unamzidi mtu wa LLB vitu vingi.
Cha msingi ni kwamba amini kuwa unachokisoma ni bora kuliko anachofanya mtu mwingine. Kwani hata hao wanaosoma LLB wangapi wapo mtaani wanahangaika na mabahasha? Wangapi wana mihuri ya uwakili na hawana wateja?
Ukisoma BALE unaweza fungua private Forensics Station kama LGC ya Uingereza, FAL ya Ufaransa n.k. Kitu ambacho hakipo Tanzania. Tatizo tumekariri ndo maana unaenda mji mdogo kama Bukoba unakuta Law Firms kama 10. Kuwa mbunifu. BALE inalipa na BALE naiona bora.
 
Nimekuwa nikisikia maneno mengi ya watu wakiiponda kozi mpya inayotolewa pale UDSM. Mimi nina haya ya kuwaambia ndugu zangu wanaJF.
Law Enforcement kwa kifupi BALE ni kozi iliyoanzishwa pale UDSM kwa wazo la IGP ,staafu MH. Mwema. Mwanzoni ilikuwa ikichukua Police tu lakini kwa sasa imeamuliwa kuwa hata ambao sio polisi wanaweza kuisoma. Ajira za BLE zipo nyingi tuu kwani unakuta darasani mpo 50 na kati ya watu hao 30 ni polisi 20 ni Freshers . Ajira zake ni kama TPDF, BoT, Migration, TAKUKURU, Magereza, Police, TRA, Usalama wa Taifa,Utumishi, Ikulu n.k
BALE ni nzuri kwani ina upana mkubwa wa ajira pia unaweza kujiajiri.. Unaweza ukafungua Foremsics Company pia Law Enforcement unaweza kuwa wakili kama ifuatavyo. LLB wanasoma miaka minne na wanapaswa kwenda Law School lakini Bale unaweza kusoma kwa miaka mitatu ukiona unataka kuwa advocate nenda kasomo Post Graduate ya Law ukimaliza unaruhusiwa kwenda Law School ukasomee uanasheria direct. Hii haina tofauti na mtu aloenda LLB miaka minne na akaenda Law School mwaka mmoja.. Tena unakuta unamzidi mtu wa LLB vitu vingi.
Cha msingi ni kwamba amini kuwa unachokisoma ni bora kuliko anachofanya mtu mwingine. Kwani hata hao wanaosoma LLB wangapi wapo mtaani wanahangaika na mabahasha? Wangapi wana mihuri ya uwakili na hawana wateja?
Ukisoma BALE unaweza fungua private Forensics Station kama LGC ya Uingereza, FAL ya Ufaransa n.k. Kitu ambacho hakipo Tanzania. Tatizo tumekariri ndo maana unaenda mji mdogo kama Bukoba unakuta Law Firms kama 10. Kuwa mbunifu. BALE inalipa na BALE naiona bora.
 
moderators nadhani hii post ya WEKKI ingeachwa yenyewe pasipo kuunganisha na hizi nyingine au muiattach kwenye main topics
 
sorry kaka naomba unipatie muongozo kwa haya yafuatayo; 1. kwa mtu ambaye tayari Ni mwajiriwa inatakiwa awe na vigezo gani kujiunga na hiyo kozi. 2, je kwenye kutuma maombi Kama ana diploma ya sheria au form 6 anatakiwa kuambatanisha na cheti Cha polisi ili wamtambue Kama Ni Askari au wanamtambuaje
kwa mtu ambaye tayari Ni Askari na ana elimu ya diploma(sheria) au form 6, kwenye kutuma maombi anatakiwa kuunganisha na cheti cha uaskari au wanamtumbua vipi?? msaada tafadhali kwa wote mnaofahamu juu ya hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…