Kwa wale wote mliojaza b.a law enforcement udsm.hii ni degree special kwa ajili ya vyombo vya ulinzi na usalama na inatolewa udsm tu. mara nyingi jeshi la police limekuwa likiwachukua mapema kwa sababu wanawahi kutoa ajira na ukisoma law enforcement BALE kuajiriwa police ni 99% kama unapenda upolisi.
Idara zingine za law enforcement ni Uhamiaji, magereza,fire,PCCB,JW NA Usalama.
kozi hii huchukua wanafunzi 50 tu kwa mwaka na wanaotoka kazini huwa ni kama 25-30 hivyo toka form six moja kwa moja ni kama 20-25 inategemeana na mwaka .
uliza chochote ntakujibu nilisoma hiyo course.
walimu ni wa sheria udsm na maafisa wa police headq. ambao wanafundisha kozi mbalimbali za ulinzi na usalama
Police hawaajiri sababu umesoma udsm bali nafasi hutangazwa na watu hujaza na kuchukuliwa acha upotoshaji dogo
mshahara una range ngap
Heri usome LLB kuliko kusoma kozi njaa kama hii ambayo mtu unaishia kuwa mlinzi wa benki usiku kucha alafu mshahara laki 2 na makato kibao,
Iyo coz mi naipenda. Ila mkuu nasikia coz inazingua sana iyo,haina lolote!
Wanaosoma kila siku wanalia coz haifahamiki.
Mkuu umenena law enforcement magumashi hailipi! Kujiajiri vigumu ajira kuu kwenye majeshi na huko kupanda cheo so rahisi kama mnavyofikiriaHeri usome LLB kuliko kusoma kozi njaa kama hii ambayo mtu unaishia kuwa mlinzi wa benki usiku kucha alafu mshahara laki 2 na makato kibao,
Mkuu so kwamba haifahamiki! Ni kwamba kujiajiri ni kazi sana mkuu binafsi siipendi kabisaIyo coz mi naipenda. Ila mkuu nasikia coz inazingua sana iyo,haina lolote!
Wanaosoma kila siku wanalia coz haifahamiki.
Mkuu so kwamba haifahamiki! Ni kwamba kujiajiri ni kazi sana mkuu binafsi siipendi kabisa
Mkuu...
Kama sijaelewa vile?
TGS E kwa ufaham wangu mdogo ni kwa watu waliosomea bachelor za uhandisi,mambo ya ardhi na sayansi. Sasa awa jamaa wa enfocerment wanaanzaje kupewa rate hii??
Ufafanuzi mkuu unahitajika
Haina issue mkuu hiyo haikufanyi uwe wakili! Na kama tunavyojua uwakili unalipa sasa professional unaishia police nawashauri vijana wasome ll,b ndio inalipa usipozingatia haya utakuja kujuta ukiwakuta wenzio wako kwenye law firm wanapiga pesa vibaya.
Mkuu umenena law enforcement magumashi hailipi! Kujiajiri vigumu ajira kuu kwenye majeshi na huko kupanda cheo so rahisi kama mnavyofikiria
every one will fight for his or her own life wish you a goodluck just try to visit kurasini police on october you'll meet many llb holders at police interview
Mshahara TZS 200,000 kwa mwezi. Rushwa inategemea na jitihada zako.mshahara una range ngap