Kwa walio tumia mac pro

kamikaze

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
422
610
Salaam wana jf,Naomba kufahamishwa tofauti iliyopo katika utumiaji kati ya computer za apple hususani mac pro na Computer nyingine Kama dell, sanding, lenovo, n.k nimeangalia specification nimeona tofauti, naomba kujua kutoka kwa mtu ambaye ana experience ya hizo aina za computer, nahitaji kujua hasa tofauti ya kiutendaji iliyopo kati ya apple computer na brand nyingine ambazo kwa uchache nimezitaja hapo juuAksanteni
 
Unataka kununua ama unataka kujua tu? Kama unataka kununua ni kwa shughuli gani?

Mac Pro.jpg
 
Back
Top Bottom