Being single does not mean no one wants you, it just means that God is busy writingyour love story. So have patience, may you soon get the Love of your Life
Mmh naona kaa nimepotea njia
acha kuishi kwa kukariri. nyeto itakuua na kuhusisha Mungu katika kila kitu
Kuwa single inaweza kuwa katika kipindi cha mpito, kwamba mtu kaachwa/kaacha.
Kwa hiyo nadhani ni kawaida japo najua hakuna mtu anapenda upweke. Lakini ni muhimu kutulia wakati mwingine ili uweze kutua mti mwema, so naunga mkono hoja ya mwandishi