Kwa walio na ndoa tuu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,711
Nyie ndoo mnaojua ndoa ni nini. Naomba kuwa uliza jambo moja tuu.

" kitu gani kilikuboa siku zako ulizokuwa honeymoon kutoka kwa mwenzi wako" usiseme hakipo??
 
Duh sasa hapo situnakua tunauza ikulu.............
 
kabla aliniambia hajawahi...nikavumilia mpaka ndoa...siku ya hanimuni nikakutana na ngorongoro crater.

hahaha, Mbavu zangu chache,, but pole kwa kusubiri.
 
Nyie ndoo mnaojua ndoa ni nini. Naomba kuwa uliza jambo moja tuu.

" kitu gani kilikuboa siku zako ulizokuwa honeymoon kutoka kwa mwenzi wako" usiseme hakipo??

Niliboreka sana kumkuta ni bikra
 
hakuna mtu atajibu hapa sababu kila mtu anaamini honeymoon yake ilikua perfect...
 
kama kuna mtu aliboreka wakati wa honeymoon basi huyo hataifurahia ndoa yake siku zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…