Kwa walio na ndoa tuu

Kwa walio na ndoa tuu

kabla aliniambia hajawahi...nikavumilia mpaka ndoa...siku ya hanimuni nikakutana na ngorongoro crater.

duuh!...masikini alijua anayo kumbe ilharibiwa na baiskel...sasa ulimuuliza kuhusu hiyo naniliu..
 
Ah, kwani waswahili wanakuwa na honey moon, haieleweki tulianza lini tuliunganisha tuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Baada ya miaka minne ya courtship; honeymoon ilikuwa procedure tu, sikuboreka wala kushangaa; kwani we were like married long a go.
 
Mhhh ndg hapo umeenda mbali sana ....
Ngoja nijaribu kukumbuka!
 
Kuzungumza ya watu sikupendezwa na tabia hiyo japo nilihisi ni kutokuwa na mpya 7day simchezo but yalio bakia yote yalikuwa great sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom