Kwa walio na ndoa tuu

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
Nyie ndoo mnaojua ndoa ni nini. Naomba kuwa uliza jambo moja tuu.

" kitu gani kilikuboa siku zako ulizokuwa honeymoon kutoka kwa mwenzi wako" usiseme hakipo??
honeymoon-never-ending1.jpg
 
hakuna mtu atajibu hapa sababu kila mtu anaamini honeymoon yake ilikua perfect...
 
kama kuna mtu aliboreka wakati wa honeymoon basi huyo hataifurahia ndoa yake siku zote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom