Kwa walio funga ndoa tu.

Mzee Uchwara

Senior Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
119
Reaction score
35
Hivi wezangu mlio kwenye ndoa,hivi ni kweli mwanaume ndio anapaswa kumuanza mwanamke ili kufanya mapenzi? Naomba ushauri maana mimi mke wangu nisipomuanza tunaweza kukaa hata mwaka tusifanya mapenzi! Sasa najiuliza ja huwa hana hamu au mpaka umuanza au amenichoka, anamtu mwingine au kazi zinamfanya anarudi amechoka. Kazi zote za nyumbani anazifanya kasoro ni hiyo tu. Je na wezangu wakezenu wanafanya hivo? Nimejaribu kuongea nae lakini habadiliki.
 
.....wakati mkiwa wachumba alikuwa anakuomba mechi?
 
nafikiri hiyo ni haki ya kila mmoja pale anapohitaji. kisheria tunaita conjugal right ambayo mke anayo kwa mmewe na mme anayo kwa mkewe. kitabu hiki hapa kimeelezea sheria za ndoa tz, bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI
 
Tatzo la kuwa good girl hlo had kuomba game unawaza mumeo atakuonaje,Talk to her ,mwambie unapenda na yeye akianzisha majamboz....
 
Naona kama ulifungishwa ndoa ya mkeka wewe, kama umeshindwa kuongea na mhusika sisi ndio tutakusaidia?
 
Au humpigi bakora za ukweli?? pengine anaona unamyeyusha tu haoni tofauti yoyote, upige au usipige ye anaona sawa tu. Hebu jaribu kumpiga za uhakika uone km kutakuwa na tofauti. Asipobadilika labda ye ni lower-sex-mania, hao watu wanakuwa namihemko midogo sn yakusex, wao wanasex kwaajili yakubeba mimba tu, muda wao mwingi ni kazi na kulea watoto, hawawazii sex, hata miaka mi3 yaweza pita hawajakamuliwa na wala hayo mawazo yakukamuliwa hawana!
 
.....wakati mkiwa wachumba alikuwa anakuomba mechi?

Hakuwa anaomba lakini kila mwisho mwa wiki alikuwa analazimisha tuonane na tusipo onana lazima akasirike sana. Lakini sasa hivi ndani ya ndoa sipate yale mapenzi ya uchumba.
 

kama simpi bakora za kutosha mbona ana wivu sana nikichelewa kidogo tu nyumbani ni kosa. Mimi niko sawa sawa.
 
Hakuwa anaomba lakini kila mwisho mwa wiki alikuwa analazimisha tuonane na tusipo onana lazima akasirike sana. Lakini sasa hivi ndani ya ndoa sipate yale mapenzi ya uchumba.

na mkionana ilikuwa inakuwaje,? alikuwa anaanzisha au ndo hivi hivi?
 
kama simpi bakora za kutosha mbona ana wivu sana nikichelewa kidogo tu nyumbani ni kosa. Mimi niko sawa sawa.

mkuu kuwa sawa sawa ni pamoja na kumfikisha kileleni, je huwa anafika? kwa maelezo yako inaonyesha mkeo sio mpenzi wa sex ila ungeweza kumfanya aipende kama na wewe ukijitahidi kwa upande wako kuhhakikisha hakuna unachobakiza..
 
Alarm hiyo broo, kuna mdau anakusaidia hicho kitengo kwa mbaaaaaaali....
 
Angalia yasije kukuta yaliyonikuta mm mwaka jana yule mbuzi jike alivyonifanyia

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Utakuwa unachapiwa,na kuchapiwa ni siri ya ndani.
 
Nitumia namba ya huyo mkeo, nimpe special training. Kitoka ameiva.:tape:
 
haya mambo magumu maana......................
 
mkuu kuwa sawa sawa ni pamoja na kumfikisha kileleni, je huwa anafika? kwa maelezo yako inaonyesha mkeo sio mpenzi wa sex ila ungeweza kumfanya aipende kama na wewe ukijitahidi kwa upande wako kuhhakikisha hakuna unachobakiza..

Bakora haisaidi kitu sometims unamuumiza. Jitaidi romanc nyingi sex unamalizia tu yaani hakuna kuongea kwenye mgegedo jitaidi kuleta miguno kabla yake jitaidi kutumia dkka arobaini kwa romnc jibu lako litapatikana hacha haibu kuwa kama chizi vile
 
Aliekwambia uoe nani?, Kiherehere hadi umeoa Gomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…