Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,705
Tayari nimeweka.Ingeweka namba za simu tukutafute au ni Pm namba zako ninashida katika simu yangu
its impractical ray05 unless you have ulterior motive!
its impractical ray05 unless you have ulterior motive!
Mimi nafanya kazi na nipo busy but doesnt mean ukiniambia nikuwekee software fulani kwenye machine yako nitashindwa,au what do you mean by 'impractical'? Mimi sio kwamba natafuta wateja au vipi, NO!!na ndio maana nimesema ambacho kinawezekana kitafanyika.
Tuache mawazo mgando watanzania,ndio nyie nyie watu jirani yako anakuja kwako asubuhi anakuletea vitumbua viwili na kukuambia "jirani karibu chai nimepika vinne hivyo sio mbaya tukishare" wewe unaingia ndani na kuvitupa kwenye dustbin huku ukimwambia mkeo "hivi vitumbua atakuwa ameweka hata sumu,hawezi kutupa burebure hata hatujamuomba huyu atakuwa sio mtu mzuri kabisa".
Kujitolea sio issue. Issue ni kuwa kama ingekuwa full time work then ingekuwa unsustainable and hence impractical.its practical. its possible ila sio as free as hana shughuli zingine zaidi ya hiyo...
character moja ya expert ni kujitolea kufanya vitu vya field yake bure... hii itaongeza imani kwa clients. sio kila kitu una mdai mtu hela. ukimsaidia mtu next time atakuja kama atakuwa na tatizo kubwa...
vitu vidogo vidogo km kumsetia mtu internet kwenye simu au kumuwekea mozilla firefox kwenye pc yake sio tatizo...
wakuu na mm natoa hii ofa kwa member yoyote wa jf
nina mashine ya kupimia magari /DIAGNOSIS MACHINE kwa yeyote yule nitampimia bure na kumwambia kuwa gari yake inamatatizo gani na kumpa rist ya fault zilizopo kwenye gari yake ni nini na nini kibovu au shida ni nini.
lakini kama atataka nimtengenezee mimi hapo itabidi tuelewane na kama tatizo litahitaji spea hiyo ni juu yake.
mm napatikana sana sana mwenge na sinza ila popote kambi.
naweza check Ceres na hii mashine yako? There are few issues with it!
Nitakutafuta boss!ya mwaka gani ww njoo tu mkuu hata kama itakuwa haina socket ya obd 2 ya 16 pin basi itakuwa na obd 1 hakuna linaloshindikana chini ya jua.tutaipima hata kimanual manual
Nitakutafuta boss!