kwa walio chaguliwa wamu ya pili

kwa walio chaguliwa wamu ya pili

newbiee01

Senior Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
100
Reaction score
23
Mi na dukuduku hasa kwa walio chaguliwa vyuo awamu ya pili
Iv kama mtu kachaguliwa kwenye maltiple selct afu bada ya siku akatumiwa ujumbe na chuo ambacho akipo katka vile vyuo ulivyo chaguliwa kwenye maltiple selection je wakt wa kukoconfirm chuo hasa kimoja kati ya vile alivyo chaguliwa multiple hata onekana kua kunamtafaruko koz icho chuo ambacho akipo kweny multiple kimemchagua kwenye single selected i inakaaje i .Msaada plz
 
Nimekuelewa chagua chochote unachotaka kwenda wewe kuna jamaa alichaguliwa multiple selection jina lake halikutokea kokote hata tcu lakini vyuoni lilikuwepo
 
Kwa ambao awajaelewa ngoja ntoe mfano kbca mfano tcu wamekuchagua kwenyr multiple selection udom na udsm lkn pia mfn saut wameguchagua single selected ukitaka kukonfirm aitaletea shida ?? Ukaonekan umekonfirm vyuo viwil
 
Back
Top Bottom