ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,152
Naomba mtu yeyote anaejua utaratibu wa kufungua NGO unaanzaje jamani au ni nini kinahitajika, kila ninapojaribu nakwama na sijui ni nani wa kumfuata anisaidie hizo taratibu, maana kuna watu wananiagizia kwenye ofisi mbalimbali za serikali hasa wizara husika, ila kila ninapofika huko sipati jipya.